Nizaliwe tarehe ngapi.!?

Kayoka

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
2,239
1,884
Wandugu naomba msaada wenu huko mliko. In short me ni mtoto pekee kwa marehemu mama yangu Mariamu Bishanga. Baada ya mama kufariki nikiwa na miaka 5 nililewa na mjomba lakini naye hajui ni tarehe na mwezi gani nimezaliwa. Naomba ushauri wenu ni lini iwe birthday yangu.
 
natamani siku ya kuzaliwa kwangu iendane na bahati na mafanikio.
 
idadi ya herufi za jina lako ndo iwe mwezi wa kuzaliwa, na idadi ya jina la kwanza na la kati na la mwisho iwe tarehe ya kuzaliwa. nadhan itakuwa unique kama unavyotaka.
 
idadi ya herufi za jina lako ndo iwe mwezi wa kuzaliwa, na idadi ya jina la kwanza na la kati na la mwisho iwe tarehe ya kuzaliwa. nadhan itakuwa unique kama unavyotaka.
naitwa James Anania Napiya. Nifanyeje hapo mkuu.!
 
naitwa James Anania Napiya. Nifanyeje hapo mkuu.!

Kwa mujibu wa Itnojec :-

J+a+m+e+s =5 kwa hiyo huo ndio mwezi wako wa kuzaliwa.

J+a+m+e+s=5, A+n+a+n+i+a=6, N+a+p+i+y+a =6 , Then 5+6+6= 17, 1+7=8 , Kwa hiyo Tarehe yako ya kuzaliwa ni 17 au 8.

Ila nakushahuri umcheki mtaalamu ya Nyota,
kuna jamaa yupo humu JF simkumbuki jina lake.
 
Kwa mujibu wa Itnojec :-J+a+m+e+s =5 kwa hiyo huo ndio mwezi wako wa kuzaliwa.J+a+m+e+s=5, A+n+a+n+i+a=6, N+a+p+i+y+a =6 , Then 5+6+6= 17, 1+7=8 , Kwa hiyo Tarehe yako ya kuzaliwa ni 17 au 8.Ila nakushahuri umcheki mtaalamu ya Nyota,kuna jamaa yupo humu JF simkumbuki jina lake.
sijaelewa elewa na hiyo hesabu. Ngoja nimsubiri Bwana Manyota anisaidie
 
Kwa mujibu wa Itnojec :-

J+a+m+e+s =5 kwa hiyo huo ndio mwezi wako wa kuzaliwa.

J+a+m+e+s=5, A+n+a+n+i+a=6, N+a+p+i+y+a =6 , Then 5+6+6= 17, 1+7=8 , Kwa hiyo Tarehe yako ya kuzaliwa ni 17 au 8.

Ila nakushahuri umcheki mtaalamu ya Nyota,
kuna jamaa yupo humu JF simkumbuki jina lake.

aisee, maalim flan hivi huwa anajitokeza kwa nadra humu jf atampa ufafanuzi zaid.
 
Mkuu kwa kuwa huna hata idea lini ulizaliwa take 29 Feb maana na yenyewe hutokea kwa nadra sana almost to hakuna kama ur besideti...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom