Niyonzima atua Simba

Status
Not open for further replies.

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,393
habari nilizozipata punde karibu na uongozi wa Simba zinasema mazungumzo baina simba na niyonzima yako katika hatua ya mwisho kumwaga wino wakati wowote.
Malkia wa nyuki amechukizwa na hatua ya yanga kumsainisha mrisho ngassa na kuongoza msafara ya kulipa kisasa, hii inatokana na yanga kuiona simba kama shamba la bibi kwa kwenda kujivunia wachezaji kama wanavyotaka, sasa ni muda wa kuchukua hatua .
stay tune more to follow....




 

mkuu tuombe iwe kweli pia tumchukue na kiiza na Okwi akirudi itakuwa bomba zaidi....
 

yule msomali mjanja sana...yule anayeweka bastola kiunoni kipindi cha uchaguzi

yule anayefungua milango ya gari ya malkia wa nyuki

yule aliyefukuzwa chama cha soka tabora( TAREFA)...YULE ANAYEWACHANGISHA WANACHAMA KWENYE MKUTANO M30 kwa ajili ya hati ya kiwanja alichotoa hayati simba wa yuda Mzee kawawa....yule msomali anaendelea kuwadanganya atamchukua niyonzima...
 
Si walisema wao simba wanatengeneza timu ya vijana
 
Huyo Niyonzima mpuuzi tu ndio anaishia....hivyo. .!! Malkia Karibu hayo tunayaweza msije lialia hapa.....stay tuned tooooooo
 

Yanga bab kubwa mchukueni muone maangamizi..muanze upya ujenzi wakikosi,kwanza sidhani kama atathubutu kucheza tim ambayo msimuujao mashindano yake makubwa ya kimataifa ni kagame hatahuko kwenyewe future is not clear kwasimba
 

malizia yule Msomalia alie lizwa mbele ya press na Twite,yulemsomali aliye hukumumiwa akatoka kwa msamaha warais kwa wizi pale FAT...endelea tena
 
Labda kama kuna Niyonzima mwingine unayemzungumzia, ila huyu anayevaa jezi namba 8 wa Yanga SC ataendelea kuchezea Jangwani

Sosi: Mimi mwenyewe
 
Confirmed!
Niyonzima amwaga wino msimbazi.
Ni Niyonzima wa timu ya daraja la 4 ya VIGWAZA FC.......
 
Labda kama kuna Niyonzima mwingine unayemzungumzia, ila huyu anayevaa jezi namba 8 wa Yanga SC ataendelea kuchezea Jangwani

Sosi: Mimi mwenyewe

tomaso, amin ivyo ivyo
 
Oyaa jamani mnajua habari nzito sana hii.. Source pls

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Watani zetu mnataka kuwashawishi wakina Rage na Malkia wa Nyuki kua kisasi kinacho stahili ni kumsainisha Nionzima? hamuwezi hata kidogo maana kufanya hivyo nikutaka vita ambayo hamtaiweza kamwe.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…