Niweke Jacuzzi au ni ufahari?

Niweke Jacuzzi au ni ufahari?

Bila picha hatuwez eleza tuna imagine tu
Picha ya chumba cha bafu ama jacuzzi lenyewe?

Jacuzzi si ni yale mabafu ya kuogeleamo kama bata?

Ya kisasa yanachemsha maji kwa joto unalolitaka mwenyewe.

Ila hapa East Africa kidogo yana bei iliyochangamka, labda uangukie kwenye used, hapo kidogo kuna afueni.
 
Ufahari? 🤣🤣 Big Nooooo.
Kama hutojali Hilo Bafu kiujumla ni Ngapi kwa ngapi katika mita.
IMG-20250822-WA0010.jpg

2.5mX3m
 
Back
Top Bottom