Madam secretary
Member
- Mar 6, 2015
- 70
- 221
Dada angu aliolewa ye aliomba mtoto wakeKwa jinsi ulivyoandika ni kama mlifurahia matatizo yaliyomkuta huyo jamaa. Familia yenu ina roho mbaya na ndiyo maana jamaa alioa na kudumu ndoani miaka 7 na akakuta bado huyo ndugu yako single.
Hakuna ambaye hawezi kupata matatizo ya kufiwa hili la kufurahia tatizo la shemeji yako wa kambo ni ujinga. Vipi kama angemzalisha mtu mwingine akaachana naye na kuoa mdogo wako kisha hao watoto wa mdogo wako wafariki, bado ungekenua magego?Dada angu aliolewa ye aliomba mtoto wake
Na kusema ukweli mim nilivoskia ivo bila unafki nilifurahi maana nakumbuka miaka Ile dada angu alitaka kufa
Umeshasema hakuna ambae hawezi kupata matatizo tungeyapokea maana yameshatukutaHakuna ambaye hawezi kupata matatizo ya kufiwa hili la kufurahia tatizo la shemeji yako wa kambo ni ujinga. Vipi kama angemzalisha mtu mwingine akaachana naye na kuoa mdogo wako kisha hao watoto wa mdogo wako wafariki, bado ungekenua magego?
Nimejikuta nampongeza mwamba kwa kitendo cha kutokuoa huyo mdogo wako. Mna familia mbovu na huwenda upande wa mama yako ni wachawi.Umeshasema hakuna ambae hawezi kupata matatizo tungeyapokea maana yameshatukuta
Na sisi tunamshukulu kwa kutooa maana dada angu aliolewa na saivi ana mapacha watatu na anaifurahia ndoa yakeNimejikuta nampongeza mwamba kwa kitendo cha kutokuoa huyo mdogo wako. Mna familia mbovu na huwenda upande wa mama yako ni wachawi.
Mwanamke akishakuwa jeuri na mwenye dharau wengi huwa wanaishia kuzalia nyumbani na akili ndo huwa inakujaDada angu aliolewa ye aliomba mtoto wake
Na kusema ukweli mim nilivoskia ivo bila unafki nilifurahi maana nakumbuka miaka Ile dada angu alitaka kufa
Kumtia mimba mtoto wa mtu na kumuacha ni uchawi piaNimejikuta nampongeza mwamba kwa kitendo cha kutokuoa huyo mdogo wako. Mna familia mbovu na huwenda upande wa mama yako ni wachawi.
Akili ilimkaa sawa aliolewa.Mwanamke akishakuwa jeuri na mwenye dharau wengi huwa wanaishia kuzalia nyumbani na akili ndo huwa inakuja
Kama umeolewa jitihada kumpikia mumeo vyakula visivyo na mafuta mengi maana kuishi na wewe tu anapata rehemu ya kutosha.Kumtia mimba mtoto wa mtu na kumuacha ni uchawi pia
The good is that karma is a bitch and she never forget a home addressKama umeolewa jitihada kumpikia mumeo vyakula visivyo na mafuta mengi maana kuishi na wewe tu anapata rehemu ya kutosha.
Mbona umepaniki mkuu kitendo cha huyo mwamba unayemsifia kutelekeza damu yake isiyokuwa na hatia unaona ni sawa unafahamu changamoto alizopitia huyo Mwanamke mpaka akajifungua salama bila saport ya baba kuna wengine adui huwa wanamuombea njaaNimejikuta nampongeza mwamba kwa kitendo cha kutokuoa huyo mdogo wako. Mna familia mbovu na huwenda upande wa mama yako ni wachawi.
Matatizo wote yanatukuta mengine tunajiletea kama mnavosema single mothers mdomo unawaponza the same to huyu roho mbaya yake ilimponza na majibu yake ya kiburiAcha kuhusishanisha mambo wewe...
Watu wasipate matatizo... Huyo dada ako au nyinyi hamtapata matatizo?
Its just his share and wait for yours.
Chonzi la Mwanamke huwa haliendi bure hasa akitendewa ubayaMatatizo wote yanatukuta mengine tunajiletea kama mnavosema single mothers mdomo unawaponza the same to huyu roho mbaya yake ilimponza na majibu yake ya kiburi
Mungu sio athumani mkata mbao anaangalia uku na huku
Kabisa acha watiane moyo but Mungu hulipa hapa hapa.Chonzi la Mwanamke huwa haliendi bure hasa akitendewa ubaya
Nuzulat mamboMbona umepaniki mkuu kitendo cha huyo mwamba unayemsifia kutelekeza damu yake isiyokuwa na hatia unaona ni sawa unafahamu changamoto alizopitia huyo Mwanamke mpaka akajifungua salama bila saport ya baba kuna wengine adui huwa wanamuombea njaa
Mkuu wewe umeolewa? Wewe ni single maza?Kabisa acha watiane moyo but Mungu hulipa hapa hapa.
Afu yakiwakuta wao wanasema sisi wachawi shuwaini kabisa