Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,897
- 5,192
Aisee 🙆♀️1. Uchemshaji ulianza mida ya saa mbili hadi saa tatu kwa zahanati na hospitali nyingi.
2. Kuchemshwa huko kuliambatana na kutoka kwa harufu fulani kali toka kwenye dawa.
3. Sindano zile zilikuwa kali kwa makalio usiombe ukutane na nesi anayevimbisha anapochoma.
Watoto wa 2000 wanaita magonjwa ya zinaa UTIZamani hakuwepo na UTI sugu
Hadi happ watoto wa 2000 wakaja.
Hospitali ya Makao Makuu ya Jeshi Upanga opposite na Diamond Jubilee Hall mwaka 1983.Niwasimulie vijana WA 2000
Zamani hizi sindano hazikuwa single use mtu alikua akidungwa basi inahifadhiwa na itachemshwa Kwa ajili ya kumdunga mtu mwingine Tena
Na sio hivyo tuu sindano ikiwa butu ilikuwa inanolewa ili makali yake yarudi Tena
kama ulipitia haya maisha, kumbuka kusali na kutenda mema.View attachment 3343043
Sio ukimwi tu magonjwa mengi hayakuepo ila ukimwi tulitamba nao japo ulikua unanyolodoka kama mlenda mabega yanazid kichwaWakumbushe pia zamani Ukimwi haukuwepo!
Kwaiyo wao ndio wamekuja kuhalibu season yetu mkuu🤷🏽♂️😂😂Zamani hakuwepo na UTI sugu
Hadi happ watoto wa 2000 wakaja.
Tulikul bila sandarusi sio!!?Wakumbushe pia zamani Ukimwi haukuwepo!
Ndio mkuuKwaiyo wao ndio wamekuja kuhalibu season yetu mkuu🤷🏽♂️😂😂
Nyama kwa nyamaTulikul bila sandarusi sio!!?
Kuna sindano ilikuwa inaitwa Kristapen au PPF ivi bado zipo...ukipigwa tako moja lazima likose mawasiliano na mwili kwa dk kadhaa.Niwasimulie vijana WA 2000
Zamani hizi sindano hazikuwa single use mtu alikua akidungwa basi inahifadhiwa na itachemshwa Kwa ajili ya kumdunga mtu mwingine Tena
Na sio hivyo tuu sindano ikiwa butu ilikuwa inanolewa ili makali yake yarudi Tena
kama ulipitia haya maisha, kumbuka kusali na kutenda mema.View attachment 3343043
Zile Sasa Ndio Zilikuwa Sindano Za Moto Achana Na Zile Za Clouds Media.....Kuna sindano ilikuwa inaitwa Kristapen au PPF ivi bado zipo...ukipigwa tako moja lazima likose mawasiliano na mwili kwa dk kadhaa.
Wanalijua gono mkuuWatoto wa miaka hii sijui kama wanajua kaswende
Marhabeeee ujambioooAlooh!! Shikamoo mjomba