Niwachekeshe kidogo



Unaonekana usivyo na akili timamu....nani kakuambia mzungu hajazoea mazingira ya kijijini? Wazungu hao hao unaowatukuza wewe atakuheshimu zaidi ukimpeleka kijijini kwako unakotoka kuliko kukaa mjini kulazimisha maisha na kuiga maisha ya watu wengine huku hauna chochote cha ku-offer wenzako. Jichunguze upya kabla hujachanganikiwa na maisha.
 
Joverest siku hivi ameshuka ktk nafasi yake
 
Assnte kwa ushauri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…