Kijana Mzeeeh
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 295
- 324
Ntakupitia tuje mjiniNipo kijijini kwa mbele.
Mnawaza ufirauni tu looKwahiyo anamaanisha mombasa ile tuipendayo sio ile ya kenya?
Hapo hata mi si naenda mwenyeweUnataka Mombasa sio!?
HahaahahaNikiona habari kama hizi, nazidi kuona umuhimu wa wale Dada zetu wa Sinza na maeneo mengine. Unalipia huduma, Unapata huduma unaenda kuendelea na shughuli zako. Hakuna kuchezeshana bahati nasibu, maana kugharamia demu huku bado ukimtongoza ni sawa na kucheza Biko tu.
Unataka ile Mombasa yenyewe au jiji la Mombasa?Hapo hata mi si naenda mwenyewe
Naogopa kuvuka barabara.Ntakupitia tuje mjini
Naogopa kuvuka barabara za mjini.Ntakupitia tuje mjini
ufirauni kwa vipi kwamfano?Mnawaza ufirauni tu loo
Wengi mno kwani mna akili sasa nyie[emoji23][emoji23][emoji23]Vipi ushapata wateja huko pm?
Kazi kwako sasa angalia mwenye dau kubwa muende Mombasa[emoji41] [emoji41]Wengi mno kwani mna akili sasa nyie[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeniachia mzigo wa kulea mume..sijui umekimbilia wapi, nakosa muda wa kupumua. Hebu njoo tusaidiane..Mke mwenza nipo. Umepotea ujue
Wachumba wanakuja wenyewe hawatafutwi banaAlafu kesho utakuja na Uzi hapa unatafuta mchumba,wanawake kama nyie ni mikosi tuu,wengi mnaishia kuwa single mama kwaajili ya tabia mbaya za chooni.
Ok.Kuna kaka ananisumbua sana ,,ananipigia simu ,mara sms na mnajua tu mtu ambae humuwazi wala humpendi akikupigia simu jinsi venye unavyojisikia vibaya kupokea ,,maana unaona hata hakufurahishi kabisa
Sasa huyu kaka ,kaka ake ni waziri flan hivi hapa Tz ,sijui alidhania ntashoboka ,akanitumia pesa eti nikajivinjali kidogo nikasema sawa,,vihela vyake vya mbuzi nikavila na rafiki yangu mmoja hivi,,,leo ananiambia niende kijijin nimfate eti nikabadili mawazo nikasafishe macho,,nikacheka akatuma nauli,,nikamuambia poa,,,
Hivi kweli mim nitoke mjini niende kijijim eti nikabadili mawazo khaa!!!mi mzungu kusema siyajui mazingira ya kijijini hadi nikabadili mawazo kule nikasema asinitie nuksi mie,juzi kati hapa tu nilikua zangu kampala nakula viraha vidogo vidogo pale Serena ,,eti leo niende kijijini hata nyege haziji kabisa aisee,,bora angesema twende hata Mombasa huko nikapate hata ladha mpya ya Kiswahili ,kwa kweli mi mtu akinipeleka sehemu mbaya na akili yangu inagoma hapo hapo na nnaondoka,,wanaume msituchezee ,,wazungu ndio hupenda kwenda huko vijijini kwani hawajawah ona maisha ya kule yalivyo,sasa mim nayajua bora nipelekwe sehemu ngeni nzuri nikabadili hata akili kidogo ,sio kijijin aisee bora nikatulia home nikachat jf
Tunachofata kwenu wanaume ni mtupe raha ,mtufurahishe na maswahibu yetu tuyasahau,,mtu anakupeleka sehemu hadi unaanza kumkumbuka marehemu bibi yako aku!!!
Mi nauli nimekula na blok juu nimempa sitaki mazoea na wanaume wa ajabu mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapovu ruksa hapa
Kuna kaka ananisumbua sana ,,ananipigia simu ,mara sms na mnajua tu mtu ambae humuwazi wala humpendi akikupigia simu jinsi venye unavyojisikia vibaya kupokea ,,maana unaona hata hakufurahishi kabisa
Sasa huyu kaka ,kaka ake ni waziri flan hivi hapa Tz ,sijui alidhania ntashoboka ,akanitumia pesa eti nikajivinjali kidogo nikasema sawa,,vihela vyake vya mbuzi nikavila na rafiki yangu mmoja hivi,,,leo ananiambia niende kijijin nimfate eti nikabadili mawazo nikasafishe macho,,nikacheka akatuma nauli,,nikamuambia poa,,,
Hivi kweli mim nitoke mjini niende kijijim eti nikabadili mawazo khaa!!!mi mzungu kusema siyajui mazingira ya kijijini hadi nikabadili mawazo kule nikasema asinitie nuksi mie,juzi kati hapa tu nilikua zangu kampala nakula viraha vidogo vidogo pale Serena ,,eti leo niende kijijini hata nyege haziji kabisa aisee,,bora angesema twende hata Mombasa huko nikapate hata ladha mpya ya Kiswahili ,kwa kweli mi mtu akinipeleka sehemu mbaya na akili yangu inagoma hapo hapo na nnaondoka,,wanaume msituchezee ,,wazungu ndio hupenda kwenda huko vijijini kwani hawajawah ona maisha ya kule yalivyo,sasa mim nayajua bora nipelekwe sehemu ngeni nzuri nikabadili hata akili kidogo ,sio kijijin aisee bora nikatulia home nikachat jf
Tunachofata kwenu wanaume ni mtupe raha ,mtufurahishe na maswahibu yetu tuyasahau,,mtu anakupeleka sehemu hadi unaanza kumkumbuka marehemu bibi yako aku!!!
Mi nauli nimekula na blok juu nimempa sitaki mazoea na wanaume wa ajabu mie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapovu ruksa hapa
Nikishakataa mwanzo nimekataa,kiherehere chake tu,labda anipeleke US ntajikazaa[emoji23][emoji23]sijakuelewa bado, ni kwamba hutaki kwenda kijijini au humpendi au unataka akufurahishe tu usahau hayo maswahibu yako? huko juu umesema humpendi then hutaki kwenda sehemu anapokuhitaji unataka ukale bata sehemu nzuri nzuri tu. halafu kama ulikua humtaki,ungeblock mawasiliano naye tangu awali asikusumbue kichwa., sasa akikupeleka huko mombasa sijui wapi huko! akikutongoza utakubali sasa?na utampa papuchi?
Mihogo naijua sana hakuna cha kunibabaishamaneno yako tu! unaonekana ushataka hogo lake.