Nivunje nisivunjee?

Nivunje nisivunjee?

Jitu la kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,416
Reaction score
7,928
.
FB_IMG_1624029555546.jpg
 
Kwa akili zangu navyozijua mwenyewe, naona nikija na upanga na kufyeka kila kitu hapo.....
 
Ukifika hapo
Kwanza unageuza ndala,kubazi au viatu
Pili unaingia hilo shamba kinyumenyume
Tatu unamwaga chumvi yenye ndimu kwenye shina husika
Nne unakata mua wako mzuri kwa kutumia panga upande ule usio na makali
Tano unatoka hapo shambani kinyumenyume
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji43][emoji43]
 
Ukojolee kwanza alafu uvunje...

Pale ulipouvunja weka tomato ionekane kama damu...

Mwenye hilo Tangazo atahaha mwaka mzima kumbe hakuna lolote lile...
 
Back
Top Bottom