MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,573
- 53,590
Hivi wajaluo wa Kenya ni wachawi kama wa huku kwetu?
Japo kuna wachawi Wajaluo, ila sio miongoni mwa makabila yanayoongoza kwa uchawi huku Kenya, hata huko Tanzania uchawi huwa umekidhiri Sumbawanga na Kigoma ila sio kwa Wajaluo hapo Musoma.