Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 3,241
- 4,446
Kuvumilia baadhi ya wanawake wanavumilia sana.... Zikipatikana za kutosha waliovumilia wanaonekana washamba, hawafai, wamechoka, hawana mvuto tena.... zinakwenda kutambuliwa na wengine.... hukoooo.....Nakupenda sana mpenzi wangu nakuomba univumilie bado natafuta sana nipe muda mambo yatakua sawa.....mwambie mpenzi wako akuvumilie