niVizuri kutembea na MTU wa rafki ako

niVizuri kutembea na MTU wa rafki ako

Aah si mtumie tu bajaji kama unaona uvivu hadi unakuja kuuliza humu?
 
Kutembea nae kama kumsindikiza dukani naweza sana

Na pia kutembea nae kimapenzi yaani kumla hapo mpaka anishawishi mkuu
 
Kutembea nae siyo shida kwa kuwa ni binadamu ila ingekuwa nguruwe utembee nayo mataani ndo shida lazima uwashwe washwe.
 
Tena jioni jioni raha sana kutembea nae mnatazana jua linavozama
 
Back
Top Bottom