Nivae nguo za aina gani ili nipendeze kutokana na mwili wangu?

Mimi ni mrefu,handsome,nina asili ya ushombe flani hivi,mweupe ila sio body builder nivaage nguo gani niwe much attractive comment yoyote ile ambayo mtu mwenye sifa hizo hua anapendeza sana akivaa (ladies first) callmize phlosopher
Weka picha yako basi mashalaa
 
Ondoa mambo ya u handsome coz hakuna cha kuvaa usoni.....
Kwa urefu and mwili wa kunyooka kula code io apo.....
Karib nko nazo zote hzo.
FB_IMG_1627128685178.jpg
FB_IMG_1627128692124.jpg
 
Mimi ni mrefu,handsome,nina asili ya ushombe flani hivi,mweupe ila sio body builder nivaage nguo gani niwe much attractive comment yoyote ile ambayo mtu mwenye sifa hizo hua anapendeza sana akivaa (ladies first) callmize phlosopher
Tuwekee picha yako tukuone
 
Mimi ni mrefu,handsome,nina asili ya ushombe flani hivi,mweupe ila sio body builder nivaage nguo gani niwe much attractive comment yoyote ile ambayo mtu mwenye sifa hizo hua anapendeza sana akivaa (ladies first) callmize phlosopher
Pendelea kuvaa shuka za kaniki na hirizi nyekundu kubwa kubwa, aisee utazivuta hela, mademu na utajiri pia
 
Sikuwahi kuamini kama kuna binadamu wa aina ya mtoa mada!! anyway, huna hata demu umuulize hayo mashudu aisee??
 
Ukivaa kama alivyokuwa amevaa Hamza utapendeza mkuu, halafu weka na SMG kifuani, pita barabarani ukiona polisi muulize kama umependeaza!!
 
Mwili wako unaweza ufananisha na wa star gani ili tupate picha tukuelekeze vizuri.
 
Piga trouser ya kitambaa na T-shirt ya zebra rang nyekundu au blue watu weupe inawapendeza afu chinii piga airforce
 
Back
Top Bottom