Niuzie i phone 5

Niuzie i phone 5

yaser

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
1,361
Reaction score
299
Wadau,

Nahitaji simu tajwa hapo juu bajet yangu ni laki tano (500000) ila naweza kupanda kulingana na ubora wa simu.

Tuwasiliane zaidi kwa 0713806766
 
yaser

Bahati mbaya ya kwangu nimetoka kuivunja kioo sasa hivi lasivyo ningekuuzia mkuu.
 
Last edited by a moderator:
yaser

Njoo pm ipo iPhone 5 gold , 32 gb na kila kitu chake unapewa ..
 
Last edited by a moderator:
Ipo 550k nyeupe Gb 32 kama hujapata bado na upo serious nipm
 
Sasa wandugu nmewapen namba hapo ili kuondoa utata bado mnaniambia niwa-pm...kwan kuna mashindano ya pm nn? Maana sielew kila mtu pm pm hata ukimpa namba mtu bado anataka pm...any way aliye serious anichek 0713 806 766 tufanye business.
 
Back
Top Bottom