Niulize swali lolote kuhusu IFM

Niulize swali lolote kuhusu IFM

nimechafukwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
290
Reaction score
237
mm ni mwanafunz wa mwaka wa 3 Ifm..nasoma BAC(BACHELOR OF ACCOUNTANCY)
 
Mkuu IFM kuna kozi inatwa insurance and Risk Management, vipi ina hesabu sana pia vipi soko lake la ajira.

Pia kuna kozi ya Tax management vipi nayo inahesabu ndani yake kiasi mtu arts akashindwa kuisoma..
 
Ndio hyo koz ipo ..na hesabu ipo pia...1st yia na 2nd yia lazima usome Qm...na Mara nyingi naonaga sana wanafunz wa insurance wanasumbuliwa na hesabu
KUHUSU SOKO LA AJIRA
nw days insurance firm zmefunguliwa kibao..kuna ma broker kibao so itategemea na ww sasa
ANGALIZO
Ukisoma insurance unakua ume specialze sana Mara nyingi huwez kuajiriwa katika firm nyingne tofaut na za insurance
 
kuhusu course Ya Tax(BTX) ipo na ni ngumu kuliko insurance ina hesabu kibao..pia utasoma Account sana....kwa upande wangu naona Tax ndo course nzuri kuliko insurance
 
si kweli acha kutisha watoto,mimi nimesoma pia ifm like 5 yrs ago now!!!!kama unataka kusoma insurance & risk mngnt soma kazi ziko nyingi sana!company kubwa zote kuna dpt za risk management,hata hapa mimi napofanya kazi dpt hiyo ipo,mabank yote yanahizo dpt so chamsingi soma faulu vizuri!!!mengine yatafata!!!!like wise tax management..
 
bila shaka ww ulisoma insurance
vilaza wa chuo
 
mkuu nimechafukwa poor you hata mimi wakati nasoma hapo watu wa coz zingine nilikua nawaona vilaza kama wewe unavyowaona!!!!!!!unataka kujua cv yangu???ntakupm cv yangu ikupe challenge kidogo....kwa ufupi tu nimesoma adv diploma in accountancy kama unayosoma wewe hapo on top of that nina msc account & finance ........natoa ushauri tu kwa wadogo zangu wasije kufata mkondo niliopita mimi...nakuhakikishia tu na brchl yako utasota sana mtaani kazi za acc siku izi hakuna,hao unao waona vilaza wa chuo utakuja kuona tofauti yao na wewe ukija kazini!!utakuja nikumbuka,matarajio ulionayo mdogo wangu ni makubwa kuliko utakachopata ....
 
Mbona mademu walio wengi wa ifm ni malaya na wapenda sana hela?au kuna course ya uchunaji na umalaya hapo if..?samahani nauliza kwa nia njema kabisa
 
Kwa nini chuo cha IFM hakifanyiwi ukarabati wa majengo na mazingira yake kwa ujumla?Pesa mnazokusanya kama ada mnazitumia kwa mambo gani ya muhimu? kwa nini mnaruhusu wanafunzi wenu kuvaa mavazi kama wanakwenda kwenye madisco? Hivi kuna kitu kinachoitwa maadili katika chuo hicho?.Hivi diploma zinazotolewa hapo baada ya kuhitimu,zinatambulika kimataifa au ni zile za WAHAPAHAPA?
 
sasa iv kuna dressing code wanawake wanavaa madera tu..ila ni kwel awali kulikuwa na mavaz yasiyo Ya heshima....
 
Mbona mademu walio wengi wa ifm ni malaya na wapenda sana hela?au kuna course ya uchunaji na umalaya hapo if..?samahani nauliza kwa nia njema kabisa

sio IFM tu hii ipo kila chuo..ila ifm inaonekana tatzo kwa vle tupo mjini..tumezungukwa na wizara zote..sasa mwanafunzi wa mzumbe ataenda kujiuza wap..wakat yupo msituni..nachoweza kusema ni mazingira tu ndo yanachangia ..kwenye kundi la watu kuna mengi...kwel malaya wapo kibao wengi wanajiuza mtaa wa ohio..billz savana na kila kiwanja unachokijua mjini
 
mkuu nimechafukwa poor you hata mimi wakati nasoma hapo watu wa coz zingine nilikua nawaona vilaza kama wewe unavyowaona!!!!!!!unataka kujua cv yangu???ntakupm cv yangu ikupe challenge kidogo....kwa ufupi tu nimesoma adv diploma in accountancy kama unayosoma wewe hapo on top of that nina msc account & finance ........natoa ushauri tu kwa wadogo zangu wasije kufata mkondo niliopita mimi...nakuhakikishia tu na brchl yako utasota sana mtaani kazi za acc siku izi hakuna,hao unao waona vilaza wa chuo utakuja kuona tofauti yao na wewe ukija kazini!!utakuja nikumbuka,matarajio ulionayo mdogo wangu ni makubwa kuliko utakachopata ....
siwez kukumbuka najiamini na course nayosoma..kwaza mm ni kiraka naingia sehemu yoyote..iwe insurance .tra kila mahali demand yana wana account ni kubwa uk compare na insurance na social protection...pia sijakudharau kama vp tuma Cv yko kwa vle tumesoma wote account na mm ntakutumia matokeo yangu Ya 1st yia na 2nd yia tuone nan mkali
 
Back
Top Bottom