Niulize, Nipongeze, Nikosoe, Nishauri

Kutoa hewa chafu sidhani kama ni jambo la kushangaza
Naona sawa tu.
Vp, hali hii inakukera?
Nimetaka kujua tu. Ni kawaida kwa kila mtu lakini nadhani unapokuwa eg ofisini huwa unachepuka na hujiachii tu. Sasa kuna hili la wawili. Kwa mfano mmelala usiku, unaweza kuachia tu ndani ya shuka?
 
Why?
Una tatizo la kiafya au shida nini.
Gyna
Nilipata saratani ya shingo ya kizazi, kutokana na umaskini na hali ngumu ya nyumbani kwetu sikuwa na uwezo wa kupata mionzi ya kukausha na hali hiyo ilipelekea saratani kula mpaka mji wa mimba nadhani.
Na katika mapambano ya kuokoa maisha yangu ikabidi nitolewe kizazi.
Sidhani sababu kuu ilikuwa nini mpaka kupata saratani
 
nina maswali madogo mawili tu kwa sasa kwa faida ya wadau.,

ni lini hasa ulianza rasmi kuvaa vigodoro, na je una mpango wa kuacha hivi karibuni?πŸ’
 
Sijui uwezo wako kifedha ila kuna njia ya kupata mtoto.
surrogacy
 
Unaona umuhimu wowote wa mwanaume kwenye maisha yako ?

Unaamini ukiwa mama wa nyumbani ndo kuwa mke Bora kwa mumeo ?

Unawaambia nn wadogo zako wanaoamini dating na wababa wametoboa kimaisha ?
Ndio, kwa upande wangu ninaona umuhimu wa mwanaume.
Japo nilidhalilika ila nimeshasahau.

Hapana, kuwa mama wa nyumbani hakukufanyi kuwa mke bora kwa mumeo.
Kuwa mama bora ni zaidi ya kuwa mama wa nyumbani.
Mke bora ni yule anayemtii na kumuheshimu mume kwa madhaifu na mapungufu yake.
Wapo wamama wa nyumbani wengi sana na hawana ubora wowote katika ndoa zao.

Unajua katika hali ya sasa ya kiuchumi, kila mtu anapenda kuishi maisha mazuri.
Naona suala la kudate na wababa si jambo baya au zuri ni vile tu kama utatimiziwa malengo yako na kuwa na heshima kwa mubaba wako πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…