Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
- Thread starter
-
- #41
Kuna uhusiano gani kati ya CCM na ujinga?
wewe ni nani hapo CCM?
Je ni kweli CCM inawenyewe? hao wenyewe ni akina nani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wa natumia njia gani kuwadanganya watanzania na kuwaibia rasilimali zao?
SWISSME
Lini Zanzibar itapata uhuru wake maana wamechoka kutawaliwa na CCM
Wewe unapenda mabeberuMpaka hapo hujajibu swali hata moja, unajua watanzania hatuipendi CCM
Kwa nini muda wote huu Tanzania inazidi kuwa maskini?
Kwanini Chadomo hawaipendi CCM ilihali ndo inayowapa Viongozi wanaowategemea kwenye uongozi wa juu na chaguzi za urais?
Swali la kwanza ccm inakufa lini?
Pili ccm na shetani mtapeana talaka lini?