Ghost reconBest Games za Ps4 2016 kwa mtazamo wangu
1.uncharted
2.Syndicate
3.Call of duty,Black Ops 3
4.Fall out 4
5.The witcher
..deadly space ni action Mkuu?!Ghost recon
Deadly space
last of usBest Games za Ps4 2016 kwa mtazamo wangu
1.uncharted
2.Syndicate
3.Call of duty,Black Ops 3
4.Fall out 4
5.The witcher
Wacha masihara bro!! Utafananisha V na Vice city.GTA V tumeizoea,zote Ideas ni sawa
Ni bonge la game nimeiona kwenye you tube ila pc yangu ni ndogo haiwezi kuichezaHivi mnaanzia wapi kuikosa GTA V!!
unatakiwa ujuwe c# na jav kwani nirahisi sana bofya hapa ili ujifunze kwanza Program Skill kwani huwezi kutengeneza game au kitu chochote kama huijui program husikaIli uweze kutengenza applications say games za android, unahitaji uwe fit kwenye language gani??
C++ ndio nzuri kwa game tena kwenye memory ndo safi kuliko hizo language zingine.unatakiwa ujuwe c# na jav kwani nirahisi sana bofya hapa ili ujifunze kwanza Program Skill kwani huwezi kutengeneza game au kitu chochote kama huijui program husika
Umekwisha tengeneza hilo game mkuuMimi ni Omary, fani yangu ni game development kwa sasa nimesha tenzeneza game nyingi likiwepo ujiji race hivi karibuni nitali upload on playstore. Sasa niulize jinsi ya kutengeneza game.
Unamaanisha nini unaposema "kusoma kama PC"?Samahan viongoz naomba kuuliza kama naweza kusoma kama PC A level hata kama sikuchaguliwa