Niulize jinsi ya kutengeneza game

Niulize jinsi ya kutengeneza game

kama una source code unaweza...
Unajuwa unaposema source code kwa ssisi game development tuna maana ya c#,java script au boom kwa ujumla huitwa computer language kwawale walio jifunza app wananipata zaidi kwani ili object iweze kumove inaitaji code hivyo hivyo kwa wale app development ili uweze ku pofya kitufe katika app mfano jamii forums unahitaji kodi pia sasa wewe unahitaji code gani na nu c# au java
 
apktool inaweza kukupa source code, app ina login page na IAP, nikizi disable na inatakiwa kuwa online kuzitumia, developer hataweza kujua na kuiblock?

Inakupa source code ndio lakini kama developer katumia protection hutopata real source code sanasana utapata code ambayo hutoweza kuielewa wala kuifanyia chochote. Kuna ProGuard, hii minification yake ukiiona utakata tamaa kama ulikua unataka source code.

Kinachobaki ni kufanya reverse engineering kwa kuangalia assembly code, kitu ambacho ni cha ajabu maana its too much code sanasana labda kama unatafuta a specific algorithm ila sio kutegemea kurecreate the entire game, you are better off kuanza kucode mwenyewe from scratch, game lolote linatengenezeka unless tunaongelea titles kubwa sana.
 
Ndugu yangu tusipotoshane hicho kitu unacho zungumzia hakipo huwezi
kujuwa code za game ambalo tayari
limekwisha kuwa video game ninataaluma na hichi kitu labda iyo engen tofauti na unity na unreal ninazo tumia Mimi .
 
Duuuh, kumbe JF kuna vichwa hivi. Mkuu mimi nataka nitengeneze Game la Mpira, nataka kuweka Simba, Yanga, Mtibwa, Coastal Union, Azam, Mbeya City n.k Je, ntaanzia wapi na kama nina picha za wachezaji wa hizo team naweza kutengeneza wachezaji wenye kufanania na hao kwenye Game?
 
Mkuu taaluma yako ni ipi hasa kwenye haya maswala? Kusomea Unity youtube au?
Kujua Unity sio kujua what really makes up a computer au how software is made, unaweza tumia blueprints tu kutengeneza games, engines zimeficha mambo mengi ya low level.

Kama hujafanya minification source code inapatikana vizuri tu kwa app yoyote ile, hata game ni app pia. Minification ikifanyika source code ile inakuwepo ndio lakini inakua "minified" huwezi ukaisoma ukaielewa, ifikirie kama encryption hivi ambayo ni irrevisible. Ila in the end kila kitu kinageuka kua machine code, wataalamu wa reverse engineering wao wanaangalia assembly code tu kutafuta specific parts ya functions wanazotaka ila sio kurecreate game zima from assembly code, labda kama game lenyewe ni dogo sana.

Kuna dissasembler za unity games, Unity inafanya optimizations kidogo wakati wa ku~compile, so you can retrieve hadi variable names. Nitakushauri kama kitu hukijui usibishe au ufanye kwanza research then ndio uongee sio kusema unataaluma alafu ukaaibika. Kama unafuatilia gaming utakua umeshajua kua kuna games hua zinatengenezewa mods, kama games ni open source then ni easy mods utazikuta kibao, ila hata kama sio open source unadhani watu hua wanategenezaje mods? Wana disassemble the game na kuanza kuongeza their own features then wanarecompile, imefanyika mara nyingi tu.
 
utahitaji kujua 3d modelling,game engine(unaweza tengeneza ya kwako kutokana na mahitaji yako),programming language c++,c,java,etc for better game engine or use already made engine...,programming language lazima uzijue.
 
Mkuu ulivyoongea utasema ni kitu rahisi.
Kutengeneza game la mpira mtu asiye na idea na programming kabisa hadi afikie uwezo wa kutengeneza basic game ni itamchukua miaka 10. No offense, na mtu mzoefu sana pia atatengeneza game basic baya baya. Game level kama ya Fifa yale ya Electronic Arts yanatengenezwa na team ya watu hata 100 wenye experience ya kutosha tu kwenye industry, na wanachukua sio chini ya mwaka na wanaspend millions of dollars, ulivyoongea hapo utadhani ni kitu rahisi unashika tu game engine au language then tayari una game la mpira. Hehehe, ni kazi nzito mno.
 
jaman msaada natumia sim ya Tecnoc8 ila nikipley games cm ghafra inakata nakurud homescreen homepage... naomben naomben msaada nifanye namm nifurahie gemz...
 
Mkuu ulivyoongea utasema ni kitu rahisi.
Kutengeneza game la mpira mtu asiye na idea na programming kabisa hadi afikie uwezo wa kutengeneza basic game ni itamchukua miaka 10. No offense, na mtu mzoefu sana pia atatengeneza game basic baya baya. Game level kama ya Fifa yale ya Electronic Arts yanatengenezwa na team ya watu hata 100 wenye experience ya kutosha tu kwenye industry, na wanachukua sio chini ya mwaka na wanaspend millions of dollars, ulivyoongea hapo utadhani ni kitu rahisi unashika tu game engine au language then tayari una game la mpira. Hehehe, ni kazi nzito mno.
nuff said, nakubaliana na wewe ni kazi nzito.
 
Hapana ni Nazi rahisi hivi punde nitaanza kutoa mafunzo humu humu
We jamaa wewe bwana.
Kutengeneza lile game ni more than modelling and programming. Wanachukua hadi real football movements kwa kutumia camera maalumu.
Kwenye racing mfano need for speed carbom nina cd yake ya utengenezaji wa lile game.
Wanachukua hadi real drifting za magari, zile motion wana zicapture, wana capture sauti za magari effects za magari.
Ni team kubwa sana sana andbit takes time.
Mtu peke yako huwezi tengeneza game lile inabidi muwe team
 
Duuuh, kumbe JF kuna vichwa hivi. Mkuu mimi nataka nitengeneze Game la Mpira, nataka kuweka Simba, Yanga, Mtibwa, Coastal Union, Azam, Mbeya City n.k Je, ntaanzia wapi na kama nina picha za wachezaji wa hizo team naweza kutengeneza wachezaji wenye kufanania na hao kwenye Game?
Mkuu usiisahau na C.D.A watoto wa nyumbani
 
Mkuu taaluma yako ni ipi hasa kwenye haya maswala? Kusomea Unity youtube au?
Kujua Unity sio kujua what really makes up a computer au how software is made, unaweza tumia blueprints tu kutengeneza games, engines zimeficha mambo mengi ya low level.

Kama hujafanya minification source code inapatikana vizuri tu kwa app yoyote ile, hata game ni app pia. Minification ikifanyika source code ile inakuwepo ndio lakini inakua "minified" huwezi ukaisoma ukaielewa, ifikirie kama encryption hivi ambayo ni irrevisible. Ila in the end kila kitu kinageuka kua machine code, wataalamu wa reverse engineering wao wanaangalia assembly code tu kutafuta specific parts ya functions wanazotaka ila sio kurecreate game zima from assembly code, labda kama game lenyewe ni dogo sana.

Kuna dissasembler za unity games, Unity inafanya optimizations kidogo wakati wa ku~compile, so you can retrieve hadi variable names. Nitakushauri kama kitu hukijui usibishe au ufanye kwanza research then ndio uongee sio kusema unataaluma alafu ukaaibika. Kama unafuatilia gaming utakua umeshajua kua kuna games hua zinatengenezewa mods, kama games ni open source then ni easy mods utazikuta kibao, ila hata kama sio open source unadhani watu hua wanategenezaje mods? Wana disassemble the game na kuanza kuongeza their own features then wanarecompile, imefanyika mara nyingi tu.
Naunga hoja
 
Mimi ni Omary, fani yangu ni game development kwa sasa nimesha tenzeneza game nyingi likiwepo ujiji race hivi karibuni nitali upload on playstore. Sasa niulize jinsi ya kutengeneza game.
Ili uweze kutengenza applications say games za android, unahitaji uwe fit kwenye language gani??
 
Back
Top Bottom