appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,912
- 3,223
- Thread starter
- #21
Kama hizo pump hakuna na umeme hakuna wanaweza kuishi kwa muda gan? Pia hao samaki wana kula vyakula gani?
samaki wanaweza kuish bila pampu kikubwa maji tasichafuke na masalio ya chakula ukiwapa chakula wape kidogo ili wagombanie wasibakize mabaki kwani yakiharibika uchafua maji na hivyohewa kukata kisha pumzi majin kuisha..chakula kipo special na kipo local food kama mkate na ugali