Niulize chochote

we Andindilile jamani
hebu rudi kalale saa hizi unatafuta nn huku
na hii baridi?
 
Last edited by a moderator:
unataka uthibitisho gani kama mimisa ni mpenzi wangu' nita hack hapa alafu niache ka black door ka kila mtu kuingia nakufanya anachotaka ukiendelea kuto kutambua mausiano yangu na mpenzi wangu
manoah na mimisa naona mpaka sasa wanafukuziana tu...sidhani kama kuna ndoa hapo!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…