Si ye mwenyewe kataka tumuulize maswali...mie nikajua ni jiniazi atusaidie hizo nyanga...
Kati ya Libolo FC na Chipumbu FC, unashabikia ipi?
Safi sana, kweli mwenyekiti hakukosea kukupa umakamu, alaa...! njegere anakuja jast fromu no wea analeta taratibu zake,!!? akimaliza kujibu.hayo maswali n apetaiti ya chit chat imemwisha
Safi sana, kweli mwenyekiti hakukosea kukupa umakamu, alaa...! njegere anakuja jast fromu no wea analeta taratibu zake,!!? akimaliza kujibu.hayo maswali n apetaiti ya chit chat imemwisha
Kwani unadhani umakamu aliupata bure?
Mwenzako vihela vya kubraib hilo licheo vilimtoka! Aliuza baiskeli yake , ile phonex nyeusi yenye masaidi mira , Hata wewe Sefet hebu sema uko na shii'ng ngapi tukutaftie kawazifa hapa! Iko nafasi wazi ya Naibu wa Makamu. Pitia Peter Mizengo uniambie utatoa bei gani.