Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,419
Ukiuliza swali la kijinga utapata jibu la kijinga pia. Unauliza swali kama unatumia akili mnemba unategemea nini?mnaonijibu hivi mkiendelea muda si mrefu nawashushia matusi!, maswali makini mnajibu kijinga sana!.
Hilo ndio jibu lake km unataka kujibiwa tofauti hayaβ¦ πΉMomy haya maswali huyawezi unaona hata ulivyojibu!..π€£
Umechelewa nimeshafika ndiyo naandaa maswaliBinti Sayuni03 tukite kambi hapa
Hili swali Liko very Philosophical na metaphysical Kuliko Kawaida nasubiri Nione Jibu..Kwanini kwenye kutafsiri maana ya giza lazima ndani yake watu hugusia mwanga..?
giza kama giza kwanini isiwe na tafsiri yake bila kugusia mwanga..?
is the darkness has frequency..?
if yes why..? and if no why..?
Usisahau kuni mention ila najua hatajibu hata swali moja manake anatafuta attention tuUmechelewa nimeshafika ndiyo naandaa maswali
wewe ndo unaleta hisia maana toka nikuambie unaakili mnemba bado inakuuma mpaka leo!.Ukiuliza swali la kijinga utapata jibu la kijinga pia. Unauliza swali kama unatumia akili mnemba unategemea nini?
Haya tulia sasa. Breath!
Uliza swali lako sasa bila mihemko!
Ila Giza Ndo limeanza Kuwepo Kabla ya MwangaHakuna baba bila mama.
Msichana anapaswa kujitathmini kama yuko tayari kupokea majukumu ya kuwa mama wa kambo, kujenga uhusiano mzuri na mtoto, na kushirikiana na mzazi mwenza kwa hekima.Msichana ambaye hana mtoto na anatarajia kuolewa na single father unamshauri vipi?
Amejibu moja ngoja niendelee na mengine holoholoUsisahau kuni mention ila najua hatajibu hata swali moja manake anatafuta attention tu
angalau hata wewe umeaona hilo watu wanajikanyaga tu humu!.Hili swali Liko very Philosophical na metaphisical Kuliko Kawaida nasubiri Nione Jibu..
Ni swali ambalo Hata Plato Sidhani kama anaweza Kujibu ππ
Heshima ya Roma, Kuepuka upinzani mkali, diplomacy reasons, hofu ya hatma yakeKwa nini Julius Caesar alikataa kuwa mfalme wa Roma, licha ya kuwa na nguvu kubwa kisiasa?
Sasa km una majibu yako kwann unauliza? πΉmnaonijibu hivi mkiendelea muda si mrefu nawashushia matusi!, maswali makini mnajibu kijinga sana!.
I was just playing with you...mind games you know. Akili mnembaaa!wewe ndo unaleta hisia maana toka nikuambie unaakili mnemba bado inakuuma mpaka leo!.
Niulize swali na nilishauliza!!!!!!
mkuu kama hutaki kuitwa tena akili mnemba kama huwezi kuyajibu maswali yangu heri tu ukapita pembeni!.
Hapo ni km yai na kuku, kila moja anasema yeye ndo kaanza..!!Ila Giza Ndo limeanza Kuwepo Kabla ya Mwanga
SawaHeshima ya Roma, Kuepuka upinzani mkali, diplomacy reasons, hofu ya hatma yake
wapi nimesema nina majibu yangu..?Sasa km una majibu yako kwann unauliza? πΉ
Aah OK nimekupata whiteKm mzabzab anavyopenda mbususu kazi hazifanyiki bila kuonja..!!