Achana na hao wa bongo kazi yao majungu tuu,,Naitaji kuuliza je ikiwa umepata chance ya kwenda marekani kwa njia ya Halali ukiwa peke yako ila huku nyuma una familia (mke na mtoto) so inacukua mdaa wa kiasi gani wewe kuweza kuwafanyiaa mpango na wawo waweze kukukuta USA na garama zake zikoje??mana kuna ishu niko nafatikia Mungu akipenda ikiwa sawa nadondoka kwa TrumpHELLO TANZANIA
habari zenu Wana JR na TANZANIA
Ni mwaka mmoja tangu nifike nchini marekani kutokea nchini Tanzania kambini nyarugusu
Ningependa nichukue muda huu unihulize chochote kuhusu NCHI ya marekani
mf; Kazi,utamaduni,Maisha
Ningependa kuwakumbusha kuhuliza pia kuhusu bendera,najua wengi wenu hawajuw kuhusu bendera ya USA
Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio scholarship ila n makazi mapya yaan kuanza Maisha mapyaKumbe umekaa Tz ndio maana naona unafahamu kiswahili .
Najua Marekani wanachukua wakimbizi nakuwapa Scholarship kwenda kusoma Marekani
Je wewe Marekani umeenda kusoma au kuishi?
Ni mafanyikio gani umepata mpaka sasa ya kuishi Marekani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi Miami jamani daaah....ile minazi na beach inanipa wehuuNikitaka kwenda na kurudi kwa wiki moja nauli yake shilingi ngapi na gharama.
Natamani siku moja niende pale Silver spring Maryland.
Tatzo kuwa ni Sheria ndoto za majimbo zinatofautianaAchana na hao wa bongo kazi yao majungu tuu,,Naitaji kuuliza je ikiwa umepata chance ya kwenda marekani kwa njia ya Halali ukiwa peke yako ila huku nyuma una familia (mke na mtoto) so inacukua mdaa wa kiasi gani wewe kuweza kuwafanyiaa mpango na wawo waweze kukukuta USA na garama zake zikoje??mana kuna ishu niko nafatikia Mungu akipenda ikiwa sawa nadondoka kwa Trump
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha huko kwa masela sipawezi
Haina shida boss tumuombe Mungu atupe uhai nitakutafta mda ukifika ,,!!Tatzo kuwa ni Sheria ndoto za majimbo zinatofautiana
Ila ukifka pumzka kwanza fanya kazi.jaribu Kuongea kingereza hata kdogo Anza sasa mchakato huo,ila mm ntakuambia pa kuanza lakn gharama inategemea vtu vingi.nenda kwenye ofisi za makazi mapya eleza unachotaka alafu watakuambia taratibu za kufuata na utafanya hvyo.kama unawezakuweka wazi nnaweza kwenda kuulza kwa ajl yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh! Wewe butu ya congo ni bure kabisa..una uwezo mdogo sana wa kufikiri!. watu kama nyie ndio mnaoiaibisha africa mkiwa huko ughaibuni...Utayari upo kwa muda c kwa muda wote alafu mbongo ni mtu yupo negative kwaiyo cshangai.
Ebu jarbu kuwafatlia,mada inayozungumzia kilimo weyemwe watacomment lishu
Hua nawashangaa sana so negative
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungelkuwa USA nngekwmbia kutokana na Mahali ulipo ila gharama za nje ya nje kufika hapo maryland cjuw. Na tena nauli utegemea na kampuni husika ya ndege na tena umeanzia kufikia state Gan marekan ndo uende marylandNikitaka kwenda na kurudi kwa wiki moja nauli yake shilingi ngapi na gharama.
Natamani siku moja niende pale Silver spring Maryland.
Mkuu una mwaka tu mara hii unaijua marekani kiasi cha kutaka kuwaelezea watu ilivyo.acha mzahaa bhana alaf ayo unayojibu ata nikihingia wikipedia nayakuta niaje wewe.HELLO TANZANIA
habari zenu Wana JR na TANZANIA
Ni mwaka mmoja tangu nifike nchini marekani kutokea nchini Tanzania kambini nyarugusu
Ningependa nichukue muda huu unihulize chochote kuhusu NCHI ya marekani
mf; Kazi,utamaduni,Maisha
Ningependa kuwakumbusha kuhuliza pia kuhusu bendera,najua wengi wenu hawajuw kuhusu bendera ya USA
Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuambia ukwel.mtz maneno mengi sana Ila Hana actions alafu muoga.wakenya wako vizr wanaku very serious na mambo yao, MTZ mwambie sasa acopy na kupaste mzk wake utaukubal tuDuuuh! Wewe butu ya congo ni bure kabisa..una uwezo mdogo sana wa kufikiri!. watu kama nyie ndio mnaoiaibisha africa mkiwa huko ughaibuni...
Sent using Jamii Forums mobile app
HELLO TANZANIA
habari zenu Wana JR na TANZANIA
Ni mwaka mmoja tangu nifike nchini marekani kutokea nchini Tanzania kambini nyarugusu
Ningependa nichukue muda huu unihulize chochote kuhusu NCHI ya marekani
mf; Kazi,utamaduni,Maisha
Ningependa kuwakumbusha kuhuliza pia kuhusu bendera,najua wengi wenu hawajuw kuhusu bendera ya USA
Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa mkuu all the best , VP umeonana naye dikembe mutombo ?Sio scholarship ila n makazi mapya yaan kuanza Maisha mapya
Na hatimae kuomba uraia
Mafankio Moja wapo n kufanya Kaz nzur inayonlpa na nmekuwa tengemeo kwa ndg na marafiki weng walioko Africa
Saiv nachukua kozi za kupata GED ambayo itaniwezesha kusoma ktk vyuo vya marekani
Natarajia kupata GREEN CARD n.k.....
of course life iko vizuri.maisha niliokuwa nayaota ndotoni ndo hata nnayoishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona hapo elimu ya lugha tatzo....
Pole mkuu..wazungu sio watu kabisaNimekuambia ukwel.mtz maneno mengi sana Ila Hana actions alafu muoga.wakenya wako vizr wanaku very serious na mambo yao, MTZ mwambie sasa acopy na kupaste mzk wake utaukubal tu
subr Beyoncé atembee uchi na ww ufany hvyo maana nawakubal kwa mambo hayo,,,,,,kwa hal hiyo cjuw lin TANZANIA ya viwanda
Sent using Jamii Forums mobile app