HELLO TANZANIA
habari zenu Wana JR na TANZANIA
Ni mwaka mmoja tangu nifike nchini marekani kutokea nchini Tanzania kambini nyarugusu
Ningependa nichukue muda huu unihulize chochote kuhusu NCHI ya marekani
mf; Kazi,utamaduni,Maisha
Ningependa kuwakumbusha kuhuliza pia kuhusu bendera,najua wengi wenu hawajuw kuhusu bendera ya USA
Karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize jirani yako,hata ucjali atakuambia.kama IPO au hamnaMbuzi choma safi napata wp ijumaa leo.....nipo Miami....nakutania bana..upo mji gani?
Nime-amend utani huo......nimeuliza upo mji gani??
CNA taarifa na tangozo hlo na Mimi cjawah kununua au kuvaa nguo toka kmpun hyoHali ya hii issue ya ku boycott gucci products iiipoje huko uliko? View attachment 1023147
Sent using Jamii Forums mobile app
Utadakwa kama kuku kama huna vibali....1.ukizamia huko I mean uanze kuishi bila vibali changamoto za maisha zikoje kazi, huduma etc
2.je wastani wa kipato kwa mwezi kwa kazi za hapa na pale ni kiasi gani na unaweza kusave kiasi gani?
3.je ukioa huko Inakuweze kupata haki zipi za kuishi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana hujui ...unaandika Uzi huna info za kujibu watu. Mimi nimeshuhudia watu wengi ninao wafahamu sio story za kaambiwa walikuja huko.VISA zikaisha muda na wanaendelea kubaki huko na maisha yanaendelea. Na wengi tu...Utadakwa kama kuku kama huna vibali....
Wanapata usaidizi wa serekal wakiwa na miaka 65Hivi wazee wanaanza kulipwa pensheni wakiwa na miaka mingapi?Vp kuhusu ubaguzi wa rangi bado upo?
Ndio nakwambia kuna siku watadakwa kama kuku...subiri waumwe waende hospitali wakati wa kuchukua taarifa zao utaniambia!!.....kila kitu kipo kwenye system....Inaonekana hujui ...unaandika Uzi huna info za kujibu watu. Mimi nimeshuhudia watu wengi ninao wafahamu sio story za kaambiwa walikuja huko.VISA zikaisha muda na wanaendelea kubaki huko na maisha yanaendelea. Na wengi tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa marekani unatakiwa na kadi ya kuruhusiwa kufanya Kaz nchini marekani huwe na kadi ya kurekod mwenedo wa Maisha(social security)1.ukizamia huko I mean uanze kuishi bila vibali changamoto za maisha zikoje kazi, huduma etc
2.je wastani wa kipato kwa mwezi kwa kazi za hapa na pale ni kiasi gani na unaweza kusave kiasi gani?
3.je ukioa huko Inakuweze kupata haki zipi za kuishi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Una haji Sawa na raïa,Ila uwez fanyakazi Kaz serekalin na ukiomba uraia ukipewa uwez kuwa rais au makamu wa rais1.ukizamia huko I mean uanze kuishi bila vibali changamoto za maisha zikoje kazi, huduma etc
2.je wastani wa kipato kwa mwezi kwa kazi za hapa na pale ni kiasi gani na unaweza kusave kiasi gani?
3.je ukioa huko Inakuweze kupata haki zipi za kuishi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwel ndg kila ktu marekani unatakiwa kuwa na vtambulishoNdio nakwambia kuna siku watadakwa kama kuku...subiri waumwe waende hospitali wakati wa kuchukua taarifa zao utaniambia!!.....kila kitu kipo kwenye system....