Emory Andrew Tate
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 492
- 630
Kama ukiangali vzr hiyo video utangudua ya kwamba kulikuwa na alama za makundi ya secret group, ambazo katika video yake anaonekana anazivuja zile alama za kishetan!!,
Basi inaonyesha amna ulijualo kuhusu mj ...
Hivi unajua tony madola alikuwa nan ?
Je wajua kwanin walimpiga sindano ya sumu?
Huna unalijua pumba tu unajibu ww unadhani tony madola alitukanwa kwaajili ya recism ,,, moja ya chanzo cha kifo chake ni pale aliposlimu na kutaka kuutangazia uma ubaya wa secret society., .
Na hata ishu ya yey kuwa white
Pamoja na kifo chake vyote vilikuwa planned
Unajua kwann alitoa nyimbo ya heal the world ?? Unajua kwann alitaka afanye show ya mwisho aache mziki ! Je unajua tony madola aliitwa devil kwasababu gani .,;!"
Evidence please
naona watu wanaongea yale wanayosimuliwa sio wanayoyajua yenye ushahidi
humu ukileta habari zako utaulizwa ushahidi huwa hatupelekani kama mizoga
Mkuu una whats app? Ningeweza share nawe baadhi ya info then uamue
Coz wakin Mj, WH n etc wote walijua kuwa watakuwa killed n walikuwa kma wanatak kusema kwa public bt huwezi mtu kana rais kwa chombo anachokiongoza....
Mkuu i have been michael jackson fan since down the time.na nina album zake zote from got to be there(1972) to invisible (2001) + michael(2010). i new the man and i tried to understand him inside out.by the way hiyo album dangerous ni ya kitambo sana,kama he opened the issue of secret society he could have been killed on the spot.how can this be ,from 1991 when the album released to 2009 when he died then still ukahusisha hii kitu kwake
Mkuu youtube you can find even videos shows michael jackson is not dead!so its not just a matter of watching the video and come out with the conclusion
Nop, hiyo video iangalie, then judge. Maana hakun evidenc nzuri kama ukisikiliza na kuona muhusika akizungumza, ukipata kuitazama nitasem my take then nawe utaweza judge
NDIO YOU TUBE INA MENGI UONGO N SOME UKWELI JUST VISIT
Mkuu video nlishaipitia once i was seeking the truth abt his death.then kumbuka kuwa his doctor was sentenced 4 years in jail for homecide.#was a mistake of overdose of propofol iliyotumika with expectation ya kuleta usingiz then he can perform on rehesal coz it was a billion dollars worth.
Hiyo video umeangalia vizuri?? If so ni maswali gani umejiuliza au majibu gan umeyapata??
Nyimbo ya Thanks to allah aliitoa ni kweli, kuhusu kuslim kwake limekuwa suala la kificho sana kiasi kwamba ni ngumu kuthibitisha maana hata utaratibu uliotumika cku ya kumzika ulikuwa wa tofauti, kama kweli Michael alislimu maziko yake yangekuwa tofauti na tuliyoyashuhudia,..
Kiimani Michael Jackson amelelewa dhehebu la mashahidi wa yehova, japokuwa kuna kipindi walimtenga(1988) kutokana na mambo yake kuwa tofauti na dhehebu hilo
Huna unalijua pumba tu unajibu ww unadhani tony madola alitukanwa kwaajili ya recism ,,, moja ya chanzo cha kifo chake ni pale aliposlimu na kutaka kuutangazia uma ubaya wa secret society., .
Nyimbo ya Thanks to allah aliitoa ni kweli, kuhusu kuslim kwake limekuwa suala la kificho sana kiasi kwamba ni ngumu kuthibitisha maana hata utaratibu uliotumika cku ya kumzika ulikuwa wa tofauti, kama kweli Michael alislimu maziko yake yangekuwa tofauti na tuliyoyashuhudia,..
Kiimani Michael Jackson amelelewa dhehebu la mashahidi wa yehova, japokuwa kuna kipindi walimtenga(1988) kutokana na mambo yake kuwa tofauti na dhehebu hilo
mkuu take a not he never explained "who were they"
all in all no body who can come out with what real happened then kama ulifuatilia familia yake ilifungua kesi kuhusu promota kuwa ndio alie mwajiri conrad murray but promota won coz documents showed conrad murray was emloyed by MJ himself