Kuna jambo hamjaligusia kama inavyojulikana kwa tanga mjini mgeni yyte aliyefika lushoto harud leo mara nyingi makanbila mengi waliofika pale kwa kuajiriwa hununua viwanja na kuufanya mji huu kuwa mother land yao asiyejua lushoto pia hujulikana kama switzealand of africa kwan wagen kutoka ulaya ndio wamejaa mjini kwa matembez kuliko wasambaa wenyewe na pia ina hoteli za nyota tano na zenye mandhari za kuvutia zilizozungukwa na uoto wa asili kushinda hata baadhi ya mikoa mikubwa nna mengi sana ya kufunguka kuhusu lushoto ngoja kwnza nkachek mechi...