=haivunjiki au ulikuwa na maana nyingine mkuuNasikia ukioa Msambaa wa Lushoto ndoa haijunjiki.
hafu ni kweli wanawake wenu wanatahiriwa wakati wa kuzaa mtt wa kwanza ?
naona siku hizi topic za "niulize chochote" zemepata umaarufu si haba.haya nasikia mzee mkapa kahamishia makazi kwenye mji huko lushoto,je ni kweli?.
Mkuu, naitafuta umaarufu wa LUSHOTO kwa minajili zote, tafadhali nijuze kuanzia jina,wenyeji,geographcal,zao,nk... nina shauku kuu !!
Kwai nyika ikuaze mosie? ghotoka ukanyweewe mazi mwe ntungo ni weako.oooooo kwatama shambaii hangi nnkuuya ini nzaagha mwenyika