The Knowledge Seeker JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 4,345 Reaction score 6,591 Oct 14, 2025 Thread starter #21 Mangwea1900 said: Kwa mtu wa hali ya chini kupanda mlima Kilimanjaro inagharimu kiasi gani Click to expand... Kuna mwanajamii hapa yupo na experience pengine anaweza kukusaidia kukupa majibu katika hili Extrovert
Mangwea1900 said: Kwa mtu wa hali ya chini kupanda mlima Kilimanjaro inagharimu kiasi gani Click to expand... Kuna mwanajamii hapa yupo na experience pengine anaweza kukusaidia kukupa majibu katika hili Extrovert
The Father of All JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 11,100 Reaction score 13,698 Oct 14, 2025 #22 The Knowledge Seeker said: Hayo mambo kila jamii yapo, sema pengine unaweza kuona jambo hilo liko sana kutokana na wewe huenda ukawa mmoja wa hiyo jamii. Lakini kama ungekuwa wakutoka jamii nyingine vilevile ungesema hata jamii yako kuna mambo kama hayohayo Click to expand... Ni kweli ila si kwa kiwango cha mkoa wa Kilimanjaro, na sababu nyingine umeuliza kuhusu mkoa huo na siyo mingine.
The Knowledge Seeker said: Hayo mambo kila jamii yapo, sema pengine unaweza kuona jambo hilo liko sana kutokana na wewe huenda ukawa mmoja wa hiyo jamii. Lakini kama ungekuwa wakutoka jamii nyingine vilevile ungesema hata jamii yako kuna mambo kama hayohayo Click to expand... Ni kweli ila si kwa kiwango cha mkoa wa Kilimanjaro, na sababu nyingine umeuliza kuhusu mkoa huo na siyo mingine.
The Knowledge Seeker JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 4,345 Reaction score 6,591 Oct 14, 2025 Thread starter #23 Mangwea1900 said: Mademu wa kichaga hivi wanajua kuvaa shanga siku hizi ??? Click to expand... kila jamii ina tamaduni zake, huenda wakawa wanavaa sasa kama ulivyouliza
Mangwea1900 said: Mademu wa kichaga hivi wanajua kuvaa shanga siku hizi ??? Click to expand... kila jamii ina tamaduni zake, huenda wakawa wanavaa sasa kama ulivyouliza