Hapana si kweli, hiyo rainbow inaakisi mwanga wa jua ambao una rangi zote unazoziona.. Huo mwanga hata ukipitishwa kwenye prism utatoa hizo rangi ambazo ni red, orange, yellow, green, blue na violetNiliwahi kusikia upinde wa mvua ni ahadi kati ya Mungu na nabii Nuhu ili kuzuia mvua ya gharika je ni kweli?
Mpaka sasa wanasayansi wengi wanaamini ulimwengu ni infinity hivyo ni ngumu kukuta kingo, kingine ni kwamba kila sekunde ulimwengu unazidi kutanuka tena kwa kasi ya ajabu!!Kama wanasayansi wanavyozidi kubuni Telescope zenye uwezo wakuona mbali zaid na wanazidi kugundua vitu sayari nyota zilizo mbali sanaa na dunia"
Je kuna mwisho/ukingo wa huu ulimwengu?
Kikubwa naona uwezekano wa kuwa na maisha huko kwingineko, maana kadri muda unavyokwenda zinazidi kugunduliwa sayari ambazo kwa namna moja au nyingine.. Hivyo probabilitu ya kuwa na intelligent life huko inazidi kuwa kubwa, hivyo wanasayansi wanazidi kutuma signals ambazo pengine zinaweza kupata responses!!
Wana Sayansi wamegundua mlolongo wa Sayari nyingi zisizo na idadi ambazo tabia yake ni kama Sayari yetu hii tuliyomo.Hili unalizungumziaje?
Hizo distance ni just approximation.. Na kujua distance toka kwenye jua si lazima chombo kiende huko, mathalani ukijua umbali toka duniani kwenda sayari nyingine kama pluto, unaweza ukapata relative distance kwenye sayari nyingine na jua pia!!tunaaminishwa kuwa distance ya jua na dunia ni kati ya 149_152mil of km,how sure ktk ili wakati tunajua akuna kitu ambacho kinachoweza kulifikia jua kutokana na miali yake kuwa mikal sana kiasi kwamba kinayeyusha kila kitu
Hakuna mpaka utakaouona zaidi ya kuona changes katika mwanga na giza... Kumbuka jua linaaffect eneo kubwa.. Hata haya masaa tuliyonayo ni just approximation!!Ikiwa wanasema wakati kuna sehemu huwa mchana na kwingine huwa usiku, je ikitokea mtu anasafiri katika haya maeneo kuna sehemu anaweza kufika na kuona mpaka wa giza na mchana? Nini hutokea katika upimaji wa muda
MhMpaka sasa wanasayansi wengi wanaamini ulimwengu ni infinity hivyo ni ngumu kukuta kingo, kingine ni kwamba kila sekunde ulimwengu unazidi kutanuka tena kwa kasi ya ajabu!!
Waarabu ndo waoga hivi??!!je nini kinatokea pale ndege inapokua angani mala ghafla bin vuu tunaskia midundo dundo/mtetemeko mkali kana kwamba ni matuta tunayavuka na ndege wakati tuko angani? ni nini kinasababisha? je inaweza kusababisha ndege kukatika katikati?
MFANO ANGALIA HII VIDEO
Waarabu ndo waoga hivi??!!
Nakaribisha maswali kwenye hili eneo kuhusu tabia nchi, hali ya hewa, mabonde, milima, mito, bahari, mazingira, majanga ya asili, anga na mengine yaliyomo. Lolote linalokutatiza uliza, majibu utapata hata kama siyo kwangu wengine watasaidia.
View attachment 372747
kwaio inamaana distance ya orbit 1 na nyingine ni sawa..?Hizo distance ni just approximation.. Na kujua distance toka kwenye jua si lazima chombo kiende huko, mathalani ukijua umbali toka duniani kwenda sayari nyingine kama pluto, unaweza ukapata relative distance kwenye sayari nyingine na jua pia!!
Pia ukijua mass ya kitu, ukajua speed ambayo mwanga unasafiri toka point A kwenda B basi utajua distance pia( watu wa fizikia wanaweza tolea ufafanuzi hili jambo)
apo sawa mkuuIsostacy theory imeelezea vizuri hii kitu...
Kiasi kinachokuwa eroded ndicho kinaenda kutengeneza mgandamizo ambao baadaye unatengeneza mwinuko hivyo balance inaendelea kuwepo!!