Mkuu ni kweli sayari tuliambiwa ziko tisa, ila ukumbuke technolojia inakua kila siku na hata katika sayansi wanakiri kwamba hawana majibu yote katika sayansi, hivyo kuendelea kugundulika sayari nyingine katika galaxy nyinginezo si kitu cha ajabu!!Mbona naona maswali tu sioni majibu huyu mtoa uzi ameishia mitini?
Jiografia za nyuma kidogo hata miaka ya themanini zilituaminisha kwamba ulimwengu una sayari 9 leo wansema wameshagundua mass nazingine sijui zina majina gani; je hizi zimetokea hivi karibuni.....au uwezo wa mwanasayansi tusiuamini sana?
Hao viumbe ni kweli walikuwepo maana mabaki yake yameendelea kugunduliwa sehemu mbali mbali duniani, na inakadiriwa hawa viumbe waliishi miaka 160m iliyopita..Dinosaurs ni viumbe vya katika hadithi au kweli? na kama kweli kwanini vilitoweka na binadamu tusitoweke.
Kama kweli sayansi wanajua haina majibu yote, kwa nini katika jiografia hiyo walisema "ziko tisa" na siyo "zinafahamika tisa?"Mkuu ni kweli sayari tuliambiwa ziko tisa, ila ukumbuke technolojia inakua kila siku na hata katika sayansi wanakiri kwamba hawana majibu yote katika sayansi, hivyo kuendelea kugundulika sayari nyingine katika galaxy nyinginezo si kitu cha ajabu!!
Universe is infinity!!
Miaka ya tisini na... Zilivuma kwamba mwaka 2000itakuwa mwisho wa dunia, hii ilitokana na vyombo vyao vyote kushindwa kuonesha namba 2001, unatuamisha vipi kwamba kuna chombo au akili ya kutambua habari ai tukio la miaka yote hiyo ambayo hata vitabu vya dini havitaji?Hao viumbe ni kweli walikuwepo maana mabaki yake yameendelea kugunduliwa sehemu mbali mbali duniani, na inakadiriwa hawa viumbe waliishi miaka 160m iliyopita..
Kuhusu kupotea kwao ukilinganisha na binadamu inategemea sana na sababu za hao viumbe kupotea, pengine zinaweza kuja kutokea pia sababu za binadamu nao kupotea katika hii sayari!!
Hata mimi nimepata mshangao sioni majibu.Mbona naona maswali tu sioni majibu huyu mtoa uzi ameishia mitini?
Jiografia za nyuma kidogo hata miaka ya themanini zilituaminisha kwamba ulimwengu una sayari 9 leo wansema wameshagundua mass nazingine sijui zina majina gani; je hizi zimetokea hivi karibuni.....au uwezo wa mwanasayansi tusiuamini sana?
Hizo satellite zinawekwaje huko angan ??Je, zinahitajika walau (minimum) satelaiti ngapi zinazoizunguka dunia ili ziweze kuchukua picha ya eneo moja mahususi kwa nyakati zote bila kuathiriwa na mizunguko ya dunia?
Wanasayansi wanajitahdi kugundua bry powerful Telescope zenye kuweza kuona mbali zaid, Kwaio bado kuna vitu vingi katka ulimwengu huu hatujavionaMbona naona maswali tu sioni majibu huyu mtoa uzi ameishia mitini?
Jiografia za nyuma kidogo hata miaka ya themanini zilituaminisha kwamba ulimwengu una sayari 9 leo wansema wameshagundua mass nazingine sijui zina majina gani; je hizi zimetokea hivi karibuni.....au uwezo wa mwanasayansi tusiuamini sana?
Hapo kwenye swala la universe ni infinity ndio hua najiulizaga sana..hakuna ukingo au mwisho wa ulimengu kweli? Kama hakuna je huko tusiko kujua kuna nini giza tu au ulimwengu mwengineMkuu ni kweli sayari tuliambiwa ziko tisa, ila ukumbuke technolojia inakua kila siku na hata katika sayansi wanakiri kwamba hawana majibu yote katika sayansi, hivyo kuendelea kugundulika sayari nyingine katika galaxy nyinginezo si kitu cha ajabu!!
Universe is infinity!!
Isostacy theory imeelezea vizuri hii kitu...ni kwanini ktk milima soil erosion inatokea kila wakati tangu miaka mingi iliyopita lakini hatujawai kusikia mlima umeisha hadi imekuwa tambalale