Kikubwa hapa tunatakiwa kujua namna mvua inavyofanyika.. Habari za simba kuzaa ni story tu za mtaani!!Kwa nini mvua inanyesha huku jua kali linawaka?
Nakumbuka tulikuwa tunaambiwa kwamba Simba amezaa, kijiografia ikoje?
Mkuu,Je kuna tofauti kati ya mji mkuu na makao makuu ya nchi? Na je mji mkuu wa tanzania ni upi na makao makuu ni wap?
Mkuu,je nini kinatokea pale ndege inapokua angani mala ghafla bin vuu tunaskia midundo dundo/mtetemeko mkali kana kwamba ni matuta tunayavuka na ndege wakati tuko angani? ni nini kinasababisha? je inaweza kusababisha ndege kukatika katikati?
MFANO ANGALIA HII VIDEO
Nenda equator pale Uganda watakuonyesha na utaprove kweli dunia inazungukaSuala la dunia kuzunguka dunia siyo suala la imani, tayari imethibitishwa hivyo!!
Suala la gheto kugeukia upande mwingine haliwezi kutokea sababu sisi tupo kwenye surface ya dunia, hivyo position ya vyote vilivyomo vikichagizwa na nguvu ya uvutano(gravitational force) haviwezi kubadili position!
mkuu kwani hutokea nini..?Nenda equator pale Uganda watakuonyesha na utaprove kweli dunia inazunguka
Kwani umeambiwa kinachozunguka ni dunia au ghetto?Tunaaminishwa kuwa dunia hulizunguka jua kutoka magharibi kwenda mashariki; lakini sijawahi kuta mlango wa ghetto langu umegeukia upande mwingine hata siku moja, kwa nini isiwe hivyo kama dunia hujizungusha kweli?
Hili swali nilimuuliza teacher akaniambia ni sea breeze nikamwambia vipi source ya sea breeze na je mpaka katikati ya nchi kuna sea?ni mwanzo au asili ya upepo?
Kwa nini kitu kikielea ''Kiwe stationery'' Hapo kwenye Tropo.... 10 km...kwa masaa 24...tutaendelea kukiona?Nakaribisha maswali kwenye hili eneo kuhusu tabia nchi, hali ya hewa, mabonde, milima, mito, bahari, mazingira, majanga ya asili, anga na mengine yaliyomo. Lolote linalokutatiza uliza, majibu utapata hata kama siyo kwangu wengine watasaidia.
View attachment 372747
Nakaribisha maswali kwenye hili eneo kuhusu tabia nchi, hali ya hewa, mabonde, milima, mito, bahari, mazingira, majanga ya asili, anga na mengine yaliyomo. Lolote linalokutatiza uliza, majibu utapata hata kama siyo kwangu wengine watasaidia.
View attachment 372747
Wajinga kama wewe wenye kuuliza swali juu ya swali nilikuwa najua walishaisha tangu miaka themanini kumbe wewe umebaki!Kwani umeambiwa kinachozunguka ni dunia au ghetto?
What is next after thermosphere and difference with other spheres?Nakaribisha maswali kwenye hili eneo kuhusu tabia nchi, hali ya hewa, mabonde, milima, mito, bahari, mazingira, majanga ya asili, anga na mengine yaliyomo. Lolote linalokutatiza uliza, majibu utapata hata kama siyo kwangu wengine watasaidia.
View attachment 372747
Mkuu dunia inapozunguka inazunguka pamoja na anga lake(Atmosphere), hivyo chochote ambacho kipo ndani ya atmophere kitaenda pamoja na mwendo wa dunia, hii ndiyo maana mvua inanyesha eneo moja hata masaa 24..Kwa nini kitu kikielea ''Kiwe stationery'' Hapo kwenye Tropo.... 10 km...kwa masaa 24...tutaendelea kukiona?
Je? ni uwongo kwamba dunia inazunguka?..kwa manake kama dunia ingekuwa inazunguka basi hicho kitu kingepotea polepole na tukakiona kesho yake baada ya mzunguko wa saa 24.Tunaomba ufahamu tafadhali.
mkuu..Nenda equator pale Uganda watakuonyesha na utaprove kweli dunia inazunguka
Kama hivyo ndivyo, ndege isingeweza kutoka point A kwenda point B.Mkuu dunia inapozunguka inazunguka pamoja na anga lake(Atmosphere), hivyo chochote ambacho kipo ndani ya atmophere kitaenda pamoja na mwendo wa dunia, hii ndiyo maana mvua inanyesha eneo moja hata masaa 24..