Niulize chochote kuhusiana na biashara ya duka la jumla

Kuna Marhaba ya Azania Group
Azania-Best-Soap-570x321.jpg
 
Uzi huu utatusaidia sana naomba tuingie kwenye uchambuzi wa bei mkuu pamoja na kuwa bei zinabadilika badilika, pia naomba wanaouza vocha za jumla huwa wanachukulia wapi na kwa bei gani na je makadirio mfano ya kuanza kuuza vocha za jumla na sigara ni sh ngapi .
 
Mkuu ungetoa na mifano hai ungetusaidia zaidi
Hapa inategemea unachukua kwa wingi kiasi gani


Kila kiwanda kinauza bidhaa zake kwa kiwango fran


Mfano ukitaka sabuni ya Unga Kuna idadi unatakiwa uifikiee kama huwezi kuifikia basi watakakutaka ukanunue kwa Ajent wao...


Kila kiwanda kina sheria zakee


Naamini umenielewa??
 
Ukienda pale k,koo utaona maduka ya maa-jent wa madaftari
Wauzaji wa hivyo vifaa wanaofahamika kwa Kariakoo,
Ni kama akina Othman na Awale,
Bei wanazouzia wao hazikidhi kununua bulk ya kuja kuuza kwa jumla mkuu, nadhani wao sio agents.

Kama una Mawasiliano ya agents wa madaftari,
Tuwekee hapa Kama ulivyofanya kwa bidhaa zingine.
 
Wauzaji wa hivyo vifaa wanaofahamika kwa Kariakoo,
Ni kama akina Othman na Awale,
Bei wanazouzia wao hazikidhi kununua bulk ya kuja kuuza kwa jumla mkuu, nadhani wao sio agents.

Kama una Mawasiliano ya agents wa madaftari,
Tuwekee hapa Kama ulivyofanya kwa bidhaa zingine.
We pimbi nirudishe kwenye group la cohu.
 
Mkuu hilo swali la vocha mbona haujalijibu na pia naomba unipe muongozo wa biashara wa vitu vya jumla na machimbo yake ya kuuza vitu vya kariakoo mfano kofuli, soksi, compass, madaftar, pencel, raster, yebo, vioo, n. K
Ukihitaji vocha za jumla unaenda Tigo makao makuu
 
Back
Top Bottom