Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,705
Kaanzisha thread nzuri sana halafu kaendelea kulala
Misugusu kuna nini mpaka wapeleke hapo..tarakea vipi na mtukula..mana hizo boda ndio masoko makubwa ya mahindi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Moja ya mambo nayafuatilia kwa karibu ni bei a nafaka. Ukitizama kwa makini zipo fursa nzuri sana hapa hapa nchini ila uelewa na utayari ni muhimu zaidi ya mtaji. Mfano 1. Sumbawanga na Songea bei imepishana kwa 140k @ gunia la ulezi. Mwenye macho haambiwi tazama. (Biashara sio tu Mtaji)
View attachment 2365374
naomba hii source ya hili jedwali la hizi bei za mazao wapi naweza pata???Moja ya mambo nayafuatilia kwa karibu ni bei a nafaka. Ukitizama kwa makini zipo fursa nzuri sana hapa hapa nchini ila uelewa na utayari ni muhimu zaidi ya mtaji. Mfano 1. Sumbawanga na Songea bei imepishana kwa 140k @ gunia la ulezi. Mwenye macho haambiwi tazama. (Biashara sio tu Mtaji)
View attachment 2365374
Imekaa vzr sana hii.naomba hii source ya hili jedwali la hizi bei za mazao wapi naweza pata???
Nimekuwekea link apo mastanaomba hii source ya hili jedwali la hizi bei za mazao wapi naweza pata???
SafiHilo nimetengeneza kulingana na matakwa yangu.. ila bei unaweza zipata hapa
MIT | Machapisho
Hapo yanatembea kwa bei gani mkuu?Nipo tunduma nakonde border yoyote Alie tayari tufanye biashara ya mahindi just pm me...Nina uzoefu wa kutosha,.. biashara ya mahindi never disappoint....Nina tamani kusafirisha mahindi Kenya lakini namna ya kupata wateja wa upande wa kenya ndio changamoto kuu..
Kiuhalisia wakenya wengi hasa wenye asili ya kiarabu wamejaa huku nakonde
Hizi taarifa umezitoa wap mkuu?Moja ya mambo nayafuatilia kwa karibu ni bei a nafaka. Ukitizama kwa makini zipo fursa nzuri sana hapa hapa nchini ila uelewa na utayari ni muhimu zaidi ya mtaji. Mfano 1. Sumbawanga na Songea bei imepishana kwa 140k @ gunia la ulezi. Mwenye macho haambiwi tazama. (Biashara sio tu Mtaji)
View attachment 2365374
Kwa mfano MTU amenitumia kifurushi kidogo cha bidhaa, let's say KALAMU nazitoaje bandarini?Uzi huu ni kwajili ya kusaidiana kufahamu process zote za kutoa na kuingiza mizigo mpakani,kutokana na Kwamba Ndio kazi nayo ifanya hapa boda ya TUNDUMA..moja ya boda kubwa sana TANZANIA …majibu yangu mengi yatakuwa sahihi na yanaweza kukusaidia na kujua wapi pa kuanzia …clearance ni mzigo wowote ule inafanyika