Niulize chochote jinsi ya kuclear mzigo mpakani

Niulize chochote jinsi ya kuclear mzigo mpakani

mkataumem

Member
Joined
Sep 1, 2017
Posts
91
Reaction score
70
Ndugu wanajamii forum wenzangu..Mimi nafanya kazi ya UWAKALA WA FORODHA BODA YA TUNDUMA…kama unamzigo wako uwe una toka TANZANIA kwenda nchi yoyote kupitia boda ya Tunduma au uwe unatoka nchi yoyote kuingia TANZANIA na unapitia boda ya TUNDUMA nina clear mizigo yote kwa bei nafuu kabisa

TUPEANE DILI …KARIBUNI KWA SWALI LOLOTE PIA IMPORTATION TUNAFANYA
 
U
Ndugu wanajamii forum wenzangu..Mimi nafanya kazi ya UWAKALA WA FORODHA BODA YA TUNDUMA…kama unamzigo wako uwe una toka TANZANIA kwenda nchi yoyote kupitia boda ya Tunduma au uwe unatoka nchi yoyote kuingia TANZANIA na unapitia boda ya TUNDUMA nina clear mizigo yote kwa bei nafuu kabisa

TUPEANE DILI …KARIBUNI KWA SWALI LOLOTE PIA IMPORTATION TUNAFANYAutara
Utaratibu upoje kwa mzigo kutoka south Africa kwa njia ya basi hapo Boda kuna ushuru kwa kila mzigo au kuna exception..??
 
U

Utaratibu upoje kwa mzigo kutoka south Africa kwa njia ya basi hapo Boda kuna ushuru kwa kila mzigo au kuna exception..??
Inategemeana na aina ya mzigo yani upo kundi lipi mfano mazao+wanyama, industrial products(final goods), raw materials ,vifaa vya ujenzi nk. sometimes wanaangalia na sera ama uhitaji wa iyo bidhaa nchini but ningejua ni bidhaa gani ningekupa summary. pia cha muhimu sana ni quantity and quality ya mzigo hapa ndio kila kitu mkuu... Karibu kasumulu-kyela border.
 
Jamaa amekujibuu vizuri sana …naona nae ni wakala mwenzangu Japo tupo boda tofauti ila utendaji wa kazi ni ule ule …tungejuaaa aina ya mzigo na ukubwa wake tunajua pakuanzia
 
Nasikia harufu ya mtu kupigwa na kitu kizito kichwani
Samahani mkuu, hivi kupitia tangazo kama hili unajuaje mtu anataka kupigwa? Mbona tunakua negative hivi? Mtu kaweka tangazo lake safi kabisaa ila mnakuja na speculations zenu hasi.
Sio vizuri
 
Samahani mkuu, hivi kupitia tangazo kama hili unajuaje mtu anataka kupigwa? Mbona tunakua negative hivi? Mtu kaweka tangazo lake safi kabisaa ila mnakuja na speculations zenu hasi.
Sio vizuri

Hawa ni watu wasiojielewa ..mtu kama ujui kitu ni bora utulie kimya au uulize
 
Habari wana jamii forum..kama una kampuni au huna na hauna wakala wa forodha boda ya Tunduma mimi kijana mwenzenu niko tayari tusaidiane namna ya kukata vibali vyote nikawa kama Trasporter wako kwa bei nafuu na mzigo ukavuka kwa wakati.Kama una mzigo umenunuliwa hapa nchini(Exports) na hauna kampuni pia tunaweza clear mzigo wako salama kabisa lakini pia hata mzigo unatoka nchi nyingine kuingia Tanzania kwa kupitia boda ya Tunduma (imports) tunafanya clearance kwa gharama nafuu…
Mawasiliano yangu 0743673246/0672673246
 
Habari…tupeane Muongozo kidogo wa mizigo inayotoka nchi hizo kuingia Tanzania kupitia boda ..Document zote za mzigo husika kutoka kampuni ya nchi tajwa hapo juu hutumwa kwenye kampuni ambayo iko Tanzania kwajili ya kufanyiwa assessment kwenye mfumo wetu wa TANSIS.Hapo ndipo mzigo huanza safari ya kuja Tz kwa kupitia boda zote kufuatana na nchi mzigo umetoka hadi unafika boda ya Tz.Process inafuata ni wakala wa forodha aliepo boda husika ya Tz kuanza kazi.

1.Kwenda kwa supervisor alisome file lenye document zote then akupangie afisa ambaye atenda kuangalia mzigo phyiscally then apige picha na kuandika alichokiona nakutuma makao makuu Dar kwajili ya wao kukadilia mapato

2.Wakiwa wanaendelea kusubili majibu kutoka makao makuu process za ukaguzi na idara zingine zinazohusika na mzigo mfano TBS,TISS,AGRIC,TFS,TPDF,POLICE ..nk na wao watasain form ya phyical examination kwa kuandika na kusign walichokiona.

3.Kodi ikishalipwa then kampuni husika ita compare manifest yao na kodi ikireflect kwa supervisor wa boda husika then wakala wa forodha atarudi kwa afisa wa kwanza alopangiwa kwajili ya kuandika final remarks.
4.Then wakala wa forodha atarudi na file kwa supervisor kwajili ya kuprit release order mchezo unakuwa umeisha.

5.Then mzigo unaanzakutolewa gate la mwisho kwa afisa aliepo siku io getin kwa kupewa realease kwajili ya ku gate out gari inatoka na mzigo

Nb..Kama gari ni ya kigeni lazima ikate roadtoll ya Kutembelea Tz bei inafuata na umbali wa safari…

[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Biashara hii kwa wenye magari na wasio na magari ila wafanyabiashara wa mahindi…inalipa sana mahindi ya kutoka Zambia kuingia Tz….Hasa boda ya TUNDUMA wakenya wamechangamkia sana hii tena ni fursa pia kubwa kwa wa Tz kuchangamkia pia …

Mizigo inapatikana sana selenje,isoka,kasema na sehemu mbali mbali kwa wafanyabiashara …pia kwa Ma Transporter mzigo Tunduma ni mwingi sana unafika na kupakia then unatembea ..mizigo inaenda hasa MISUGUSUGU,DAR NA NAMANGA …
 
Back
Top Bottom