NITUMIE NAULI NIJE

NITUMIE NAULI NIJE

Kamfungulie mashtaka ya kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu.
Alikutapeli huku ulitumia Ile kesi sijui ya Nigeria kama mfano na hapo Kenya

Kadai pesa yako
Kadai fidia ya maumivu ya kisaikolojia aliyokusabishia
Kadai tena fidia ya usumbufu ulio upata.
Fidia ya muda ulio upoteza gharama
Fidia ya gharama ya chakula, vinywaji na maandalizi yote isipungue milioni 10.
Chama Cha Wanaume kitakuwa nawe, bega kwa bega
 
Ibara ya 69 ya Sheria ya Ndoa imeweka wazi mkuu,,, lakini Kama aliyemtumia nauli Hana mahusiano nae (uchumba), hio umekula kwake
Mtu kam'like kwenye simu, wakaanza kuchat, jamaa akalegezwa akatuma na ya kutolea, kuna sheria hapo kweli?
 
MWANAUME UNADAI NAULI IRUDISHWE?
4C28791F-E0B5-43C1-91E2-8DA46AF5F9AF.jpeg
 
Back
Top Bottom