The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 2,326
- 3,202
Yaani mtu unafanya kazi katika mazingira magumu, alafu unamtumia mtu nauli aje, baada ya kutuma tuu hajaja na simu hapokei.
Kwa mara ya kwanza nauli yangu imeliwa nifanyaje?
Kwa mara ya kwanza nauli yangu imeliwa nifanyaje?