Benard kombe
Senior Member
- Jul 15, 2012
- 139
- 41
heshima kwenu wakuu.
nataka kununua photoprinter online kampuni ipi nzuri kati ya e-bay au amazon.
maana ndio mara yangu ya kwanza.
na nitafurahi zaidi kama nitaelezwa na ubora wa hiyo kampuni.
NAOMBA KUWASILISHA.