Nitumie dawa gani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitumie dawa gani

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by zayat, Jan 14, 2011.

 1. z

  zayat JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DOKTA;-Unaumwa nini shida yako?
  MGONJWA;-Nikikosa Pombe na fegi sigara silali nitumie dawa gani
  DOKTA:-Nakuandikia dawa nenda Bar ilio karibu na nyumbani kwako utanunua hizo dawa :puke:
   
 2. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ni kuendelea kukosa mpaka uzoee hali ya kukosa na utaacha kabisa
   
 3. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #3
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha haaaaaa,madokta wengine bwana!
   
Loading...