Nitumie dawa gani ndevu ziote haraka?

Nitumie dawa gani ndevu ziote haraka?

Mzurulaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2021
Posts
292
Reaction score
691
Habarini wana Jamvi..
Sawa ndevu ni kero ila zinaheshima yake.
Ukifika umri fulani ukawa hauna hii mambo bado utakuwa na wakati mgumu wa kupewa salamu hata na watoto wadogo. Umri unaenda harafu nakosa kitu cha muhimu kama hiki.

Tafadhari, Tafadhari... Naomba msaada wenu nasikia kuna dawa ya kukuza ndevu.
NB Ndevu Zipo ila ni ndogo na hazikui....Kwa muda mrefu..
 
Wewe unataka ziote haraka, alafu kuna sisi wengine tunataka ndevu zipunguze speed ya kuota haraka dis life has no balance
 
Ingia Instagram kuna zile oil special kwaajiri ya ndevu. Lakini pia zipo hormones boost kwaajiri ya kuongeza uzalishaji wa ndevu sababu kukosa ndevu ni ishara ya kupungukiwa hormone ya kiume. Nitakuwekea hapa mojawapo. Ila kama utakuwa na muda, upo Dar nikuelekeze maduka ambayo utapata hizi makitu
 
Picha za mojawapo ni kama hii hapa ambayo inauzwa kama 50,000 per bottle kama hii
81hVwivm%2BcL.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom