Naombeni kujuzwa dawa ya kuondoa wekundu kwenye jicho moja

Morg

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,301
1,767
Naimbeni kujuzwa dawa ya kuondoa wekundu kwenye jicho moja.

Haliumi Wala kuwasha niliamka ndio nikakuta hiyo hali

Nitumie dawa gani jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itakuwa nywele imeingia kwenye jicho litaisha lenyewe tu ni usirichokonoe liache tu
 
Asali mbichi inaondoa huo wekundu, unchukua kidogo unaweka jichoni fanya mara mbili kwa siku.
 
Hali kama hii
_124663618_ojosconsangre.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom