Nitumiaje Ipad isiyotumia Line? naomba msaada

mbogyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
231
Reaction score
100
Kuna mtu kaniletea ipad ya apple ambayo haina access ya kuinsert sim so najiuliza ninawezaje kutumia Internet ikiwa nipo huku kwenye maeneo ambayo sina access ya wireless internet.

So naomba msaada wa kuelekezwa ni namna gani ninaweza nikaenjoy internet using this device.
 
Inamaana njia ni moja tu ya wifi hivyo unatakiwa ujue njia tofauti tofauti za kutengeneza Wifi.

1. Nunua 3g router halafu ueke line kisha ujitengenezee wifi. Zipo router ambazo zina battery kabisa hivyo utaweza kutembea nayo.

2. Tumia simu yako kuitengenezea wifi ipad.
 
thax mkuu nimekupata vema
 
Back
Top Bottom