Nitoke vipi

Chinga boy

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
412
101
Hbr za mapumziko wadau.Mm ni mwajiriwa nikifanya kazi ktk field za mawasiliano i.e telecom and non telecom(power) fani yangu halisi electrica5 techn.nilipata training za transmission na kuweza kufanywa cheap labour kwa kufanya kazi zote kwa pamoja.Sasa ni mda mrefu niko mbali na familia yangu ambayo iko Da.Sasa natafuta njia ya kujiajiri,nimepanga kwanza nifungue w/shop ya aluminium na metal fabrication ambayo atakuwepo ndugu yangu mwenye hizo fani then niangalie maendeleo kama mazuri niache kazi na kuöngeza electrical work labda nitatoka kimaisha.USHAURI WENU WADAU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom