Hivi simu nazo zinaingiliwa na kirusi? Karibu kuireset!!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Jaribu, shida ni kuwa K & J kwenye keyboard ya kiingereza ziko karibu!!!!Umemaanisha karibu au jaribu?
Mkuu nilidownload pic frame na twinpicture na instragram,nkashangaa imetumia 4gb,halafu Niki connect na computer inakataa kusoma. Juzi nilijaribu kuhamisha movie toka laptop flan ili nije niingize kwangu,kumbe ile laptop ilikuwa imeathirika balaa!Ndo mana nahisi hivyoHilo ndo limepelekea usemee kuna virus?? hakuna virus hapo tatizo ni apps tu ulizotupia..
Tupe maeleo kamili, ni apps gani ukizotumia na ulifanya nini, na je ukiaccess kuangalia memory usage pale unaona nini maana unaweza ona memory space allocation vizuri tu ukajua size kubwa imeenda wapi.. kwa nini wengi hua wanakimbilia virus?
Mkuu nilidownload pic frame na twinpicture na instragram,nkashangaa imetumia 4gb,halafu Niki connect na computer inakataa kusoma. Juzi nilijaribu kuhamisha movie toka laptop flan ili nije niingize kwangu,kumbe ile laptop ilikuwa imeathirika balaa!Ndo mana nahisi hivyo
Kirusi cha laptop hakiwezi kuaffect simu, hiyo ni explanation nyepesi zaidi, ukitaka kujua in details kwa nini unaweza uliza nkakwambia... ni kama uniambie uweke flash drive kwenye machinenyenye windows afu uiweke kwenye mac afu iaffect si kweli.. kwa hiyo kirusi hujakipata kutoka kwnye computer.. kwa nini usifungue kwenye settings uone memory imetumika sehemu zipi na zipi kabla ya kuconclude? watu hawatengenezi virus za android zenye kujiduplicate kujaza simu, hamna anayefanya hivo siku hizi.. software engineer huo muda angetumia kutengeneza android software akauza, virus wanazotengeneza labda kuiba data ambazo hata mb mbili haifiki ni code nyepesi sana.. kuna kitu kinaitwa cache pia hua software unayo lakini inaweza ikawa na files nyingi inatunza ni bora kuangalia
Mkuu nawezaje ku-clear hiyo cache memory
Hivi kache ni kitu gani? Msinicheke mi najifunza!!!
Jaribu, shida ni kuwa K & J kwenye keyboard ya kiingereza ziko karibu!!!!