Nitawezaje kuunganisha video clips kutumia simu ?

Nitawezaje kuunganisha video clips kutumia simu ?

Willy Gamba 1

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
352
Reaction score
377
Kama topic inavyojieleza wakuu naombeni msaada wa either program au njia ya kuunganisha movie yangu niliyoishusha kwa simu ambayo ipo katika vipande vinne.
 
Kama topic inavyojieleza wakuu naombeni msaada wa either program au njia ya kuunganisha movie yangu niliyoishusha kwa simu ambayo ipo katika vipande vinne.
  • Tumia "ConvertXtoDVD" - Uta_istall katika PC yako
  • Ni single click utaweza unganisha hivyo vipande vinne
 
kinemaster pro- android
imovie- ios
movie maker - wp

Ila kwa kuguess tatizo lako kama vile hizo hapo juu hazitakufaa, movie nyingi ambazo zipo vipande huunganishwa na software za ku extract/compress. hizo movie zako zipoje? zipo kama hivi?

movie1.mkv.001
movie1.mkv.002
movie1.mkv.003
movie1.mkv.004

Kama ipo style hio tafuta software ya kuextract am not sure ila nafkiri es file manager inaweza fanya hio kazi.
 
Mkuu Chief movie zangu Zipo katika mfumo wa mp4

kama vinaangalizika vipande vyote vitatu basi video editor inahusika hapo hizo nilizokutajia hapo juu ila unaweza subiri hadi masaa 2 kuunga tu video sababu simu hazina nguvu compare na pc linapokuja suala la rendering.

kama kinaangalizika kipande cha 1 tu then chapili na chatatu huwezi kukiona hadi uunge basi utahitaji software ya ku extract kama es file manager.
 
Vipande vyote vinaangalizika mkuu...na nimejaribu kuicheki hiyo app ya kwanza play store kinemaster pro ni ya kununua hakuna free app unayoijua?
 
Vipande vyote vinaangalizika mkuu...na nimejaribu kuicheki hiyo app ya kwanza play store kinemaster pro ni ya kununua hakuna free app unayoijua?

zipo mbili kaka ya bure na ya kulipia, kinemaster ya bure inakuwa na watermark yao ambayo kwa matumizi ya nyumbani haikeri
 
Sorry tena hapo juu umeorodhesha app moja moja kwa kila kifaa cha simu.. mi natumia android, je unaweza kunitajia app nyingine zaidi ya hiyo uloitaja
 
Wadau wote mliokuwa mnahitaji kupata app kama niliokuwa naitafuta mimi, nimefanikiwa kupakua app 1 hivi inautwa VideoShow ni nzuri na imefanya kazi niliokuwa naitaka.

Icheki play store ipo na nilifikia uamuzi wa kuipakua baada ya kuona review nyingi zikiikubali na kufikia kupata nyota 4.2

Credit ziende kwa Mwl.RCT na Chief-Mkwawa
 
Wadau wote mliokuwa mnahitaji kupata app kama niliokuwa naitafuta mimi, nimefanikiwa kupakua app 1 hivi inautwa VideoShow ni nzuri na imefanya kazi niliokuwa naitaka. Icheki play store ipo na nilifikia uamuzi wa kuipakua baada ya kuona review nyingi zikiikubali na kufikia kupata nyota 4.2

Credit ziende kwa Mwl.RCT na Chief-Mkwawa

Imechukua muda gani kuunga?
 
Na kwa anaejua ku blur sehemu ya video

sijawahi kujaribu ila nafikiri ni rahisi sababu unaweza kueka picha kwenye video yoyote. tafuta picha yako ya blur au tengeneza mwenyewe kwa photoshop then save kama png.

Ukisave kama png picha yako haitakuwa na background, fungua software yako ya kueditia video drag and drop ile picha kwenye timeline halafu adjust hadi eneo unalotaka izibe.

mi natumia cyberlink powerdirector kueka picha kama hivyo inawezekana, itabidi uwe na capable video editor
 
Last edited by a moderator:
duh, hapo panataka uvumilivu. umeipata wapi hio movie? kama unataka movie ndogo za simu zenye mb kidogo na quality kama 240p ambazo ni single link tumia fzmovies

FzMovies - Bollywood, Hollywood, Dubbed Hollywood high quality HD movies for mobiles, iphone, ipads, tabs, notes in 3gp and mp4 format. Also stream movies on your mobile

Nimeipitia hiyo link nimeona lakini nayo inatoa movie katika vipande viwili so itanibidi niiunge tu tena. Ila shukrani kwa hiyo link mpya kwani umeniongezea site nyingine.

Nilikuwa natumia site ya 3gp movie kupakua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom