Nitawezaje kuunganisha video clips kutumia simu ?

Nitawezaje kuunganisha video clips kutumia simu ?

Najaribu tu kufikiria kwa nini waunga clips ambazo unaweza pia kuzitazama separately...

Kwa hizo clip 4 zinakuwa hazina mzuka coz kila moja inakuwa na dk almost 20 na muvi unakuta ni ya saa 1 na nusu kwa hiyo inapoteza radha
 
Nimeipitia hiyo link nimeona lakini nayo inatoa movie katika vipande viwili so itanibidi niiunge tu tena. Ila shukrani kwa hiyo link mpya kwani umeniongezea site nyingine.

Nilikuwa natumia site ya 3gp movie kupakua
cheki vizuri ina single link

unapoclick movie kuna option tatu

-3gp
-mp4
-high mp4

click high mp4

utaona imekuja single link tu.
 
Back
Top Bottom