Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,131
Lina za cdma zipo zantel na ttcl tu. . nenda huko kwa msaada zaidi
Inategemea na bands za hiyo lte, kwa mfano kuna bands ambazo zinashika china tu ila hapa bongo chenga. Niliona kwa simu flan hivi ya lenovoLte ni gsm
kila kifaa kina namna yake ya ku unlock havifananiHv simu za hivi unaziunlock vp.!?
Kwaiyo hii haikubali kwa apps?kila kifaa kina namna yake ya ku unlock havifanani
nadra sana ku unlock simu kwa apps
Du kwaiyo mpaka toolsnadra sana ku unlock simu kwa apps
Yawezekana pia eneo ulipo halina hizo hudama kwa hiyo mitandao unayotumia. Inaweza ikawa na 3G Au 4G ukawa eneo ambalo hakuna hizo huduma hapo lazima isome EDGE tu.Wakubwa Nina simu mpya inaitwa oppo kutoka china INA 4g,3g lakini hazisapoti kila laini inasoma EDGE naitaji msaada wadau kwa hili