Nitawezaje kutumia hii simu hapa bongo?

Nitawezaje kutumia hii simu hapa bongo?

apprentice1997

Senior Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
107
Reaction score
99
Habarini wanajukwaa, Nina simu. aina ya saSamsung galaxy core prime g360p, hii simu ina support network za LTE na CDMA tu na sidhani kama ina GSM, je nitawezaje kuitumia hii simu kwa mitandao yetu ya hapa bongo maana hiki kimeo nilichonacho sasa kinanisumbua. Naomba kujuzwa kama kuna trick yoyote ya kuactivate gsm network kwenye hii simu. Asante
 
nimecheki bands zake za lte hazikubali hapa kwetu, hapo kajaribu zantel kama bado wanauza line za cdma
 
Chief-Mkwakuitumit: 17649972 said:
nimecheki bands zake za lte hazikubali hapa kwetu, hapo kajaribu zantel kama bado wanauza line za cdma
Kwa hiyo sitaweza kuitumia kwenye line yangu ya Tigo au voda
 
Habarini wanajukwaa, Nina simu. aina ya saSamsung galaxy core prime g360p, hii simu ina support network za LTE na CDMA tu na sidhani kama ina GSM, je nitawezaje kuitumia hii simu kwa mitandao yetu ya hapa bongo maana hiki kimeo nilichonacho sasa kinanisumbua. Naomba kujuzwa kama kuna trick yoyote ya kuactivate gsm network kwenye hii simu. Asante

Kwa nijuavyo LTE inaconnection na 4G, umejaribu line za 4G za kampuni yeyote?

Mimi nina iPad ambayo ni CDMA na LTE...line yeyote inafanya kazi.Now natumia halotel
 
oeIringa post: 17653879 said:
Kwa nijuavyo LTE inaconnection na 4G, umejaribu line za 4G za kampuni yeyote?

Mimi nina iPad ambayo ni CDMA na LTE...line yeyote inafanya kazi.Now natumia halotel
Mkuu nipo iringa huku hakuna 4g,
 
[QUOTin m"oel200e, post: 17653879, member: 183207"]Kwa nijuavyo LTE inaconnection na 4G, umejaribu line za 4G za kampuni yeyote?

Mimi nina iPad ambayo ni CDMA na LTE...line yeyote inafanya kazi.Now natumia halotel[/QUOTE]

Mkuu ni
 
[QUOTttcl halet, post: 17669259, member: 125171"]ttcl nao si wana teknolojia ya cdma na wametoa chip mdau hawezi tumia hiyo?[/QUOTE]
Mkuu ttc
 
Wakubwa Nina simu mpya inaitwa oppo kutoka china INA 4g,3g lakini hazisapoti kila laini inasoma EDGE naitaji msaada wadau kwa hili
 
band xa 3g za china na hapa ni tofauti ila kwa 4g zinaingiliana na smart, kwa uhakika zaidi eka full name ya hio simu tuhakiki bands zake
 
Back
Top Bottom