Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,371
- 111,682
Restore to the factory, programmes zote zitarudi, lakini zile ulizo install mwenyewe zitapotea itabidi udownload na kuinstall tena.
Siku nyingine usithubutu kutoa ushauri kama huu kwa mtu ambaye level yake ya utatuzi wa nyanga kama hizi ni ndogo...
Unamuongezea zaidi matatizo badala ya kupunguza lile moja alilonalo...