Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 729
Heshima kwenu JF!
Msaada kwa anayejua namna ya kurudisha camera kwenye smartphone ilifutika sijui ilikuwaje nilishangaa haipo.
Nimejaribu play store nakutana camera 360 ambayo haichukui video.Natumia tecno S5