Nitawezaje kupata channel za bein sports ?

Nitawezaje kupata channel za bein sports ?

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,210
Reaction score
4,182
Salaam wa ndugu wenzangu. Kheri ya siku ya leo, Lengo langu wa ndugu wa jamaa wenzangu ni kuomba msaada wa mwenye kujua maujanja au jinsi ya kuunganishwa na hawa jamaa wa [bein sports] maana wadau wanasema cc wenye vingamuzi vya hd tunafursa kubwa ya kuweza kuzipata chanel za bein sports nawaomba wa jamaa wenye kujua undani watujize asanteni.
 
Back
Top Bottom